Hawa ni wakwepa kodi wakubwa?

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Viongozi wa Taasisi za dini,Wafanyabiashara wakubwa,...tafadhali endelea nilipoachia
 
hawa hapa wengine

8D6U3762.jpg
 
Sulayman ibn Daudi, Kwanza kabla sijatowelea, Sheikh King of Kings, hii picha Madhubuti. Basi.

How the hell you got this picture from. Yani we paparazi rafki yangu. It is an excellent photography, Ameipata safu ya mbele vizuri tu, ok turudi kwenye mada. Bwana wewe unasema kua mashekhe na mapadri, na wafanya biashara wakubwa. Umewaacha, wafanya biashara wadowadogo (wajasirimali au kama tulivokua tunajiita zamani Wamachinga, au Entrepreneur Chagua moja. Subsistence farmers 9the villegers the ones feeds us) Kuna hela za tax kedekede uliza Kigoma we used to pay tax even wakati wa nyerenye baba wa taifa. Tatizo TRA sio Wabunifu, kituambacho siwalaum,. kuna mambo mengine huhitaji fedha kwa hiyo mimi sina lawama TRA kabsaaaaaaa. Lakini, Kings iyo picha jamani, wewe vita ya kutoza watu tax unaanzia na mashehe na padri, Wachungaji, utavuruga. Hawa ndio our allies, sisiem wemewatumia hawa kwa kujongeza agenda zao na kupromote peace, hii ni utamaduni toka nyerenyere. Sasa kings siku ukimuona Dr Slaa Usiseme ati kakaa na corrupted people, Hawa ni wazee wetu siku ukija wewe wakiona unaendeleza interest zao watakuchagua. The key is to found out what is ccm giving them? Start with CcM financial statements. benki zitakuambia kila aliekula pesa. Hawa masheikh at, ukiwaletea rizki watachukua, na mapadri na wachungaji tabia zao namna moja. Nikama PAC sasa mtu akienda zake kwenye temple ya wayahudi na hata ya Mabudist yani ukidonate kwenye couse ya dalai lama unadhani mzee Dalai Lama atakatataa hela, Watu wadini wasikupe shida hata siku moja. You need to reason with them on top of cash, dude. do not go into politics, kumbe kikwete anaswali? kumbe rafiki mgonjwa wakuu. tumuurumie mzee wetu. Lakini hata slaa nae amekula chunvi. Kiwastani wagombea wote ni watu wazima na khishma zao. Shida yetu ni kupugunza umasikini. K

Kwani haya mwaswali kwa kweli yangekwenda kwa mtu yuko Dar- The Comptroller of The Republic.
 
Slaa kawaficha watoto palen Victoria.Nasikia Bilicanas nayo inakwepa kodi!!
 
Malaria Sugu,,at work kwa msaada wa mafisadi, kwani wewe Malaria sugu pesa unazolipwa na mafisadi unalipia kodi?
 
Back
Top Bottom