Hawa ni wagonjwa wa akili...!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Wagonjwa wa akili walipanga kutoroka wakasema; tukifika tumpige mlinzi tunnyang'anye ufunguo tuondoke zetu.
walipofika hawakumkuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi.

wakajisemea;dah..!!,mpango wetu ushafeli, turudini ndani tutapanga siku nyingine ana bahati kweli huyu mlinzi.wote wakarudi ndani.
 
Wala si wehu peke yao ndo wanaokuwa na mawazo ya aina hii. Hata watu wenye akili timamu huwa wanashindwa ku-focus kweny objective yao. Objective ilikuwa kutoroka.
 
Mpango ulikuwa ushapangwa hatua kwa hatua, mmoja kumshika mlinzi na mwingne kumpiga ili wamkomoe, je wapigane wenyewe? Walikuwa raiti
 
Mpango ulikuwa ushapangwa hatua kwa hatua, mmoja kumshika mlinzi na mwingne kumpiga ili wamkomoe, je wapigane wenyewe? Walikuwa raiti
<br />
<br />
wenzio wagonjwa wa akili we sijui mgonjwa wa nini ebu jitambulishe mwenyewe tafadhali.
 
Hao nna uhakika walikuwa magwanda, typical!

Hao ni CCM maana resources zote zipo lakini nchi bado masikini, mafisadi wanawajua lakini wanataka wajitoe wenyewe.

Kama kujitoa raha mbona wao wanakaba mpaka penati?
 
Hao nna uhakika walikuwa magwanda, typical!
<br />
<br />
we mama ebu toa habar zako za siasa huku kwan jukwaa la siasa ujaliona wenzio tunafurah we unataka kutuharibia cku tu au hujashiba futari ka huna cha kufanya ipeleke iyo nanihii yako uko tarawehe sawa eeh!!!. BYE.
 
unajua ushindi wa chee sio mzuri msiwadharau hawa wana akili zao safi tu, fikiria siku simba walipopewa ushindi wa chee kombe la kagame kutafuta mshindi wa tatu mwaka flani kila mtu aliongea lake na timu ya yanga ikafungiwa, isitoshe Musonye nae matusi yalimtoka, saaafi saaana imekaa mswanu
 
Back
Top Bottom