The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 966
- 970
Mkuu inziiiiiiii wengine wameruka wakati anakuza picha..usibishe!wakuu mi nmeangalia hii picha na kuona ni picha ya dukani. Sehemu iliyo zungushiwa haifanani na sehemu iliyokuzwa. ukiangalia hata idadi ya nzi sehemu iliyo zungushiwa ni tofauti na nzi walio sehemu iliyokuzwa. hata nguo sehemu iliyozungushiwa ni tofauti na nguo zinazo onekana sehemu iliyo kuzwa. ni hayo tu. Mia