hAWA NECTA VIPI BANA!!!!!ETI WAMENIANDIKIA FLD.

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Jamani FLD ndio nini?????haya majaaa wameniandikia kwenye matokeo yangu ya form six!!!!!!naona kuna kila sababu ya kuvunja muungano.
Ebu nipeni ushauri nifanye nn jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

  • A%20S%20kiss.gif

A%20S%20kiss.gif
Shida ya hawa NECTA singo nyingi mpya za akina Twente Pasenti na Afande Sele hawazijui so ukiwaandikia wanashangaa! NECTA bana!

pole sana ndo ziro iyo naona we shule ulienda kulima matunda uko
 
ww wenzako walikuwa wanasoma ww ukawa unakomaa na ****za mitaani,
jipange upya ukarudie!!!!!!!!!!!!
 
Jamani FLD ndio nini?????haya majaaa wameniandikia kwenye matokeo yangu ya form six!!!!!!naona kuna kila sababu ya kuvunja muungano.
Ebu nipeni ushauri nifanye nn jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

  • A%20S%20kiss.gif

Hata haichekeshi, nimejaribu kucheka nikaishia kile kicheko cha Eddie Murphy kwenye Beverly Hill Cops, ambacho infact sio kicheko bali ni kujikenulisha.
 
Hapo umefaulu sana! Post zako za chuo ni USA au UK. Nenda NECTA wakupe VISA usepe! Ukichelewa imekula kwako
 
FLD maana yake Field wewe utakuwa umepangiwa Kazi mojakwamoja Kutokana na matokeo yako nenda wakakwambie hiyo Field unaanza lini wapi na utalipwa sh ngapi?
 
yaani hata mtu hujui maana ya FLD hio miaka sita ulikuwa unafanya nini shuleni?
 
Hata haichekeshi, nimejaribu kucheka nikaishia kile kicheko cha Eddie Murphy kwenye Beverly Hill Cops, ambacho infact sio kicheko bali ni kujikenulisha.

Kwani kuna mtu alikwambia ucheke!!!wewe sungura nini.
 
Hapo umefaulu sana! Post zako za chuo ni USA au UK. Nenda NECTA wakupe VISA usepe! Ukichelewa imekula kwako

VISA ndio nini?kama visa hzi hizi za kawaida,mbona kwa babu yapo mengi.
 
FLD maana yake Field wewe utakuwa umepangiwa Kazi mojakwamoja Kutokana na matokeo yako nenda wakakwambie hiyo Field unaanza lini wapi na utalipwa sh ngapi?

ahsante,ubalikiwe na shetani.
 
Back
Top Bottom