hawa ndo wanasiasa wetu bana!

mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,960
2,464
kuna mbunge mmja wa njombe aliamua kufanya ziara mbalimbali kwenye jimbo lake, alipokuwa huko akaruhusu wananchi watoe malalamiko yao na kisha yeye kuyajibu, mambo yalikuwa kama ifuatavyo:-
swali la kwanza lilitoka kwa wanafunzi: mheshimiwa sisi tuna matatizo sana na labalatory zetu sasa wewe kama mbunge wetu utatusaidiaje?
jibu kutoka kwa mheshimiwa: aisee! kwanza nashangaa sana kitu kidogo kama hicho hamkuniambia mapema, hizo laboratory ziko nyingi sana dar es salaam, waalimu na viongozi wengine mliopo hapa naomba mnikumbushe nikifika dar salaam ninunue hizo laboratory kisha niwaletee wanafunzi waweze kusoma
swali la pili lilitoka kwa wananchi wa kwawaida: mheshimiwa kuna hili jambo la katiba mpya, sasa wewe kama mheshimiwa utatusaidiaje ili tupate katiba imara?
jibu kutoka kwa mheshimiwa: wananchi wangu mnataka katiba imaraaaa?(wakajibu ndiyooooooooo!), ok ok ok, nina marafiki zangu wengi sana tutachangishana pesa kisha tutaenda kununua saruji(sument) ya kutosha ili tuwezeshe hili zoezi la kujenga katiba iwe imara kabisa, msihofu kabisa

hawa ndo wabunge wetu wa std 7 bana.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Tunduma Mbeya.
 
Kuna moja anaitwa Mateo Qaresi aliwaahidi watu kuwaletea umeme.ikaja uchaguzi mwingine akaanza tena kuomba kura.,akaulizwa maswali.

Mmama(mwananchi):we tangu ulipopata kura uchaguzi uliopita hukuonekana tena jimboni je tukikupa kura tena si ndo
hurudi?
Mbunge:We mmama unataka kila saa niwafuatilie nye tu nisifanya kazi za serikali?au ulitaka niwe napiga picha na wewe?

Mwananchi mwengine:uliahidi umeme mpaka leo hamna,halafu unaomba tena kura,mambo si yale yale?
Mbunge:sasa kama hamjajenga nyumba za maana nikileta umeme niwafungie nyaya kwenye masikio?
 
Majibu kama haya yanatakiwa uombe ulinzi wa vijana wa Kova mapema.
 
Kuna moja anaitwa Mateo Qaresi aliwaahidi watu kuwaletea umeme.ikaja uchaguzi mwingine akaanza tena kuomba kura.,akaulizwa maswali.

Mmama(mwananchi):we tangu ulipopata kura uchaguzi uliopita hukuonekana tena jimboni je tukikupa kura tena si ndo
hurudi?
Mbunge:We mmama unataka kila saa niwafuatilie nye tu nisifanya kazi za serikali?au ulitaka niwe napiga picha na wewe?

Mwananchi mwengine:uliahidi umeme mpaka leo hamna,halafu unaomba tena kura,mambo si yale yale?
Mbunge:sasa kama hamjajenga nyumba za maana nikileta umeme niwafungie nyaya kwenye masikio?
Mkuu huyo alikuwa ni mbunge wetu toka kanda ya ziwa na sasa ni marehemu, Ernest Nyanda, kwenye umeme anatolea mfano sasa unataka mimi nipeleke umeme kwenye jumba kama kale kanyasi na ukimuuliza kuhusu barabara anakuuliza wewe una gari mpaka unataka barabara na mwishoni anawachana hata msiponipigia kura mimi nitashinda tu na jamaa alikuwa anashinda kweli mpaka alipokufa 2001 ndo akapoteza ubunge.
 
Back
Top Bottom