Hawa ndo Majembe wasiotakiwa na Mafisadi ubunge wa East Africa

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
1:Mrisho Gambo(yupo kambi ya 6 ya Urais)
2:Shyrose bhanji(ana mahusiano na Chadema) anasaidia wapinzani.
3:Makongoro Nyerere(Ndugu zake wapo Chadema na vikao vya NEC anampinga sana Lowasa)
4:William Malecela(katelekeza familia USA na kakimbilia ubunge hana takwimu ya uadilifu na mama ake anampinga Lowasa
5:Kimbisa(mtoaji mzuri wa Rushwa ila hana anachokisimamia ki siasa)
6:Anthony komu(huyu ni chadema na alisaidia sana kuingusha CCM arumeru_
Ongeza wa kwako na sababu zao
 
Tafadhali kamanda

William siyo Jembe.... Hebu tupe deliverable yoyote hapo
Kimbisa Siyo jembe zaidi ya kukomba pesa Red Cross
Shyrose siyo jembe - labda kwa cheti cha kuwa mtanzania anayeongoza kwa kushindwa chaguzi nyingi na siajabu ni dunia nzima
Komu siyo jembe
 
Duu, huyu Dogo Mrisho Gambo naona amekuwa akiwarushia sana madongo kambi ya Lowassa. Sikujua kuwa kumbe yupo kwa MJOMBA wake Sitta kwa sasa. Ni kijana mzuri na anasimamia sana anachokiamini.

Gambo, sijui yu CCM kwa kiasi gani ila nafahamu hayupo kwa Lowassa na ni mpinzani haswa.

Ningeliomba sana sana watu wa CHADEMA wammpe huyu pia kura zao maana anaonekana ni kijana flexible anayeweka kwanza UTAIFA mbele na chama chake nyuma. Najua wengine watasema na Mtani wangu Malecela je?
Hapo sasa muamue wenyewe maana mie huko wala sintakuwepo. Wana CCM pia wanaotaka mabadiliko, mpeni huyu Dogo.

Mrisho Gambo, kijana komaa sana sana huko DODOMA. Ikiwa vipi basi njoo uchukue jimbo la SIKONGE maana huyu Said Nkumba kwa kweli ni kituko tu na wapambe wa Mwanaye anayeitangaza kuwa mwana CHADEMA imara.

KILA LA KHERI MRISHO GAMBO.
 
Hii ni kampeni ya hali ya chini sana kwa hao unaowapigia upatu hasa unapohusisha mgombea eti na jina la mtu mwingine i.e Lowasa. Kwa strategy hii (mark my words) utazidi kuwaharibia!!
 
Tafadhali kamanda

William siyo Jembe.... Hebu tupe deliverable yoyote hapo
Kimbisa Siyo jembe zaidi ya kukomba pesa Red Cross
Shyrose siyo jembe - labda kwa cheti cha kuwa mtanzania anayeongoza kwa kushindwa chaguzi nyingi na siajabu ni dunia nzima
Komu siyo jembe

Hapo kwenye red mbona umeshindwa kutoa udhibitisho japo wa kifitna, fitna ingekuwa inatia mimba basi fitna zenu na Komu zingewatia mimba ya mapacha na TUTEMENKE wenu
 
1:Mrisho Gambo(yupo kambi ya 6 ya Urais)
2:Shyrose bhanji(ana mahusiano na Chadema) anasaidia wapinzani.
3:Makongoro Nyerere(Ndugu zake wapo Chadema na vikao vya NEC anampinga sana Lowasa)
4:William Malecela(katelekeza familia USA na kakimbilia ubunge hana takwimu ya uadilifu na mama ake anampinga Lowasa
5:Kimbisa(mtoaji mzuri wa Rushwa ila hana anachokisimamia ki siasa)
6:Anthony komu(huyu ni chadema na alisaidia sana kuingusha CCM arumeru_Ongeza wa kwako na sababu zao

Penye Red panaku define wewe ni mtu wa Majungu tu, Huna jipya inaonyesha una chuki binafsi na Malecela.
 
Duu, huyu Dogo Mrisho Gambo naona amekuwa akiwarushia sana madongo kambi ya Lowassa. Sikujua kuwa kumbe yupo kwa MJOMBA wake Sitta kwa sasa. Ni kijana mzuri na anasimamia sana anachokiamini.

Gambo, sijui yu CCM kwa kiasi gani ila nafahamu hayupo kwa Lowassa na ni mpinzani haswa.

Ningeliomba sana sana watu wa CHADEMA wammpe huyu pia kura zao maana anaonekana ni kijana flexible anayeweka kwanza UTAIFA mbele na chama chake nyuma. Najua wengine watasema na Mtani wangu Malecela je?
Hapo sasa muamue wenyewe maana mie huko wala sintakuwepo. Wana CCM pia wanaotaka mabadiliko, mpeni huyu Dogo.

Mrisho Gambo, kijana komaa sana sana huko DODOMA. Ikiwa vipi basi njoo uchukue jimbo la SIKONGE maana huyu Said Nkumba kwa kweli ni kituko tu na wapambe wa Mwanaye anayeitangaza kuwa mwana CHADEMA imara.

KILA LA KHERI MRISHO GAMBO.

kilaza Said Nkumba!

Hili jimbo la Sikonge limepata hasara ya kukosa mwakilishi kwa miaka 10 sasa,jamani wazawa mliosoma rudini nyumbani kwenu ili muwasaidie ndugu zenu maana hawa CCM uwezo wao umeishia hapo.
 
Huyu mrisho gambo nilimfahamu nilipokuwa arusha ni kijana mwenye msimamo na anasimamia anachokiamini.Namtakia kila la heri katika kinyanganyiro
 
Janet Mmari na Mzee Masha wapumzike kama wenzao wakina Kaborou kwani miaka mitano iliyopita walikuwa kule nahawakutuwakilisha vyema; wakapumzike wawaachie wengine wafanye kazi!!
 
tofauti na waganga njaa wanaokimbilia vyama vya siasa, komu ni jembe hasa, hajulikani kwa kuwa haoenekani kwenye tv mara nyingi. lakini ndo moja ya waasisi wa mageuzi katika nchi yetu, tangu akiwa pale uru seminary hadi leo hakuna mahali ambapo amewaangusha watz katika kujenga mageuzi ya kweli
 
1:Mrisho Gambo(yupo kambi ya 6 ya Urais)
2:Shyrose bhanji(ana mahusiano na Chadema) anasaidia wapinzani.
3:Makongoro Nyerere(Ndugu zake wapo Chadema na vikao vya NEC anampinga sana Lowasa)
4:William Malecela(katelekeza familia USA na kakimbilia ubunge hana takwimu ya uadilifu na mama ake anampinga Lowasa
5:Kimbisa(mtoaji mzuri wa Rushwa ila hana anachokisimamia ki siasa)
6:Anthony komu(huyu ni chadema na alisaidia sana kuingusha CCM arumeru_
Ongeza wa kwako na sababu zao
Namba 4 Sio Jembe wala nn, mtoe kwenye list ndo nami nitatoa maoni yangu
 
Mrisho Gambo nimemsoma jana kwenye gazeti moja,namkubali sana huyu dogo yuko sawa.Anajitambua.He has my vote.He is not a coward. Alinifurahisha sana kipindi fulani alitimuliana vumbi na kambi ya Lowasa.
 
hapo naona Gambo na Makongoro tu ndo majembe........ maana vita inayopigwa juu yao imeanzia mbali sana.
 
Back
Top Bottom