Hawa ndo Kuku wa Malawi

unjano unatokana na kuku kula majani ya kijani kwani hata wale pure kienyeji wasipokula majani kiini hakiwezi kuwa cha njano
\

Kwa wa kienyeji, kiini ni cha njano. Sanasana kitakua rangi ya chungwa akila 'sana' majani. Yai shurti kiini kiwe cha njano. Nje ya hapo ni matatizo tu. Hao kuku wa kisasa ndani hata ufanyeje kiini hakiwi cha njano kamwe. Labda mpauko wa njano.
 
Mkuu 92mtl umewapata wapi hao kuku na mimi nahitaji kujua ninaplan za kuanza kufuga hivi karibuni.
Mkubwa kama unataka vifaranga tuwasiliane.
Mim niko Tanga nauza vifaranga vya kuku wafuatao
1:kuroila
2:kenbo
3:kienyeji na
4: Kuchi
Kuroila, kenbro na kienyeji bei ya kifaranga cha
Siku moja ni tsh 2,000 tu. Usafiri unajitegemea
 
Kifaranga cha kuchi cha siku moja bei gani?
 
Mkubwa kama unataka vifaranga tuwasiliane.
Mim niko Tanga nauza vifaranga vya kuku wafuatao
1:kuroila
2:kenbo
3:kienyeji na
4: Kuchi
Kuroila, kenbro na kienyeji bei ya kifaranga cha
Siku moja ni tsh 2,000 tu. Usafiri unajitegemea
mkuu vifaranga vya kuchi unauzaje?, na kenyeji pia bei gani?
 
Mkubwa kama unataka vifaranga tuwasiliane.
Mim niko Tanga nauza vifaranga vya kuku wafuatao
1:kuroila
2:kenbo
3:kienyeji na
4: Kuchi
Kuroila, kenbro na kienyeji bei ya kifaranga cha
Siku moja ni tsh 2,000 tu. Usafiri unajitegemea
Me naitaji ivyo vifaranga tuwasiliane unitumie nipo dar
 
Mkuu kwani unawafungua midomo kuwalisha we we waekee wenyewe watapima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom