Hawa ndo Kuku wa Malawi

Ili kupangiwa muda ina bidi useme

1.una hitaji vifaranga wangapi
2.wa umrigani?

NB: vifaranga wana tofautiana bei kulingana na umri unao chukulia na mahala wanako patikana

kwa hapa nilipo

Wasiku 1=2000
kuanzia wiki 1-2 =3000
wiki 2-4=5000

Muda wa order hauzidi siku 22
Shukrani Mkuu kwa hizo data,vipi suppliers wake wako wapi hapa tz??Kuna idadi ya kuku inayotakiwa ili ukiagiza wakuletee??Shukrani Mkuu
 
kuku hawa hawakosi soko popote tz maana kwanza ni wakubwa sana na nyama yao si kama nyama za kuku wengine wa kisasa kitu og
hata usipo wauza wenyewe mayai tu yana kulipa haswaaa maana sifa yao kubwa ni kutaga mayai mengi

kuhusu idadi ya kuagiza ni wewe na kujipanga kwako kuanzia vifaranga 100 hadi 1000

NB:kwa wanao anza wana shauriwa kuanza na idadi ndogo ili wazizoee changamoto kwa vitendo walau hata vifaranga 100
 
hawa kuku kwa sasa wana patikana maeneo mengi tz ktk poutry productions wanaenea kwa kasi maana kuku hawa ni madini wana vumilia kila hali na magonjwa hapo morogoro wapo ngoja nikutafutie namba za wahusika kwa huko but mi nili combine na washkaji Tukaagiza 1000 wale og malawi kabisa maana nilipo ni mpakan kabisa na malawi then tuka gawana hata hapa nilipo wapo lakin kwa order
nami ni pm namaba zako niko karibu na mpakani
 
Ili kupangiwa muda ina bidi useme

1.una hitaji vifaranga wangapi
2.wa umrigani?

NB: vifaranga wana tofautiana bei kulingana na umri unao chukulia na mahala wanako patikana

kwa hapa nilipo

Wasiku 1=2000
kuanzia wiki 1-2 =3000
wiki 2-4=5000

Muda wa order hauzidi siku 22
Kwani wewe upon wapi???.
 
Shukrani Mkuu,tafadhari naomba uweke address zao ili iwe rahisi kuweza kuwapata.
 
Best breed ever,utagaji wao ni non stop
 
Attachments

  • 1469300049311.jpg
    1469300049311.jpg
    116.4 KB · Views: 202
Utagaji wao ni kati ya 75 to 90 percent kama unawalisha vizuri
 
Attachments

  • 1469300127021.jpg
    1469300127021.jpg
    89.6 KB · Views: 123

Similar Discussions

Back
Top Bottom