Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

Mpaka sasa chadema ina viti 23 ukilinganisha na wabunge wa5 wa bunge lililopita.Hii ni baada ya kuchakachua huko kigoma mjini,songea mjini,mbeya vijijini,mbozi magharibi,kilombero,segerea na kwinginepo ambapo pameripotiwa.Bila hivyo vingefika viti zaidi ya 40.Hata hivyo idadi iliyoongezeka ni kubwa,360%.Nawapongeza sana viongozi wote wa chadema kwa kazi kubwa iliyofanyika.Sipati picha bunge lijalo litakavyokuwa baada ya kambi ya upinzani kuongezeka.Sijui chadema itakuwa na viti vingapi maalum anayejua utaratibu naomba anijuze.Kwaiyo wakuu kazi iliyofanyika ni kubwa na sisi wanaharakati twende kinyume na wote wanaobeza,najua wengi wao ni walamba viatu vya kina ki..te.Well done CHADEMA.
 
Hivi wabunge kwenye Viti maalum vya UWT wanapeta tuu hadi bungeni au bado wanakipingamizi?
 
mshaanza kufkiria viti maalum???
kweli wapinazni mmefulia..
KIDUMU CHAMA CHA....................
 
Kama mfumo wa kupata watakaochaguliwa kuwa wabunge wa viti maalum utakuwa ni ule uliotangazwa na Kitila Kitumbo basi CHADEMA itakuwa imekosea sana.

Kwa maoni yangu viti maalum visitumike kama asante kwa watu bali kama ni mkakati wa kukiongezea chama mawanda yake na kukijengea umaarufu zaidi kwa jamii.

Kwa mfano kuna haja gani kwa mkoa wenye wabunge wengi wa CHADEMA kupewa tena wabunge wa vii maalum. Na kwenye tayari mbunge wa kuchaguliwa jee kuna haja ya kuteua tena mbunge wa kiti maalum ili afanye nini?

Ingekuwa bora kama CHADEMA ingechagua wabunge wa viti maalum (wanaofaa lakini) kutoka kwenye ile mikoa na majimbo ambayo hayana wabunge wa kuchaguliwa. lengo ni kutumia wabunge hao wa kuteuliwa kama changamoto kwa wabunge wa kuchaguliwa wa CCM (WATCH DOG).

Kilimanjaro ina haja gani tena ya kuwa na mbunge wa viti maalum kuliko Mtwara, au Mbeya mjini kuliko jimbo la Rungwe?
 
Mkuu Uteuzi wa Viti Maalumu huwa unafanyika kabla hata Uchaguzi unapofanyika, sasa CHADEMA wangejuaje kwamba Mkoa fulani hautakuwa na Mbunge wa Kutolewa
 
Ni kweli kwamba hakuna jinsi ya kufanya kubadili mpangilio wa majina 105 yaliyopelekwa tume ya uchaguzi? Siyo kweli bwana. wale wale 105 ndani yao wanatoka kwenye mikoa isiyo na wabunge na wengine wanatoka kwenye mikoa yenye wabunge. yapo majina kama Reggia Mtema na Halima Mdee yataondolewa kwa nini nafasi zao zisichukuliwe na wengine kutoka kwenye maeneo yasiyo na wabunge?

Kimtazamo kama anavyosema REV. Kishoka, Mwanakijiji na wengineo, CHADEMA ni lazima ijitofautishe sana katika kufanya mambo yake. Wake wa wakubwa, viongozi wa juu wa chama ndiiyo chaguo la kwanza kama ilivyo ndani ya CCM. Hilo ndilo tunalotaka libadilishwe ndani ya CHADEMA.
 
Mkuu CHADEMA imeshiriki katika ubunge katika Mikoa yote, na lengo lilikuwa ni kushinda na hakukuwa na namna yeyote ya kujua ni wapi watakuwa na wabunge na wapi hawatakuwa na wabunge labda ungeshauri ni namna gani CHADEMA wangefahamu mikoa isiyo na wabunge

So far List ya Viti maalumu ya CHADEMA haikuwekwa wazi kwa hiyo hapa tutakuwa tunajadili hearsay tu
 
Hesabu zikoje kwenye wabunge wa viti maalum, let say CHADEMA wapate wabunge 30 wa kuteuliwa je ni nafasi ngapi watapewa za viti maalum?
 
Mkuu Kama sikosei Niti Maalumu vinategemea na Idadi ya Kura atakazopata Rais
 
Mkuu Uteuzi wa Viti Maalumu huwa unafanyika kabla hata Uchaguzi unapofanyika, sasa CHADEMA wangejuaje kwamba Mkoa fulani hautakuwa na Mbunge wa Kutolewa

Uteuzi si msahafu, waweza kurekebishwa baada ya uchaguzi.
Mpaka saa uteuzi huo haujatangazwa rasmi.

Hoja hii ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha chama.
Hakuna haja ya kulundika wabunge Kilimanjaro, Arusha na Manyara.
 
kwenye hili chadema bado wanamawaa kwani uteuzi wao kwanza hauko wazi wala hauna fomula ukizingatia walikataa maamuzi ya wananwake ambao ndio wenye kwenda kuwakilishwa wakaunda kikundi cha watu kuwapangia wanawake nani akawawakilishe huku vigezo vilivyottumika vikiwa havitoi fursa kwa walala hoi wala wenye elimu ya wastani hivyo kama wanataka kushika dola wanatakiwa waweke taratibu za kusimamia kila jambo wanalolifanya ili hat wananchi waamini kuwa wakiongoza nchi hawawezi kuwabadilishia mambo bila ridhaa yao:hippie:
 
Kama mfumo wa kupata watakaochaguliwa kuwa wabunge wa viti maalum utakuwa ni ule uliotangazwa na Kitila Kitumbo basi CHADEMA itakuwa imekosea sana.

Kwa maoni yangu viti maalum visitumike kama asante kwa watu bali kama ni mkakati wa kukiongezea chama mawanda yake na kukijengea umaarufu zaidi kwa jamii.

Kwa mfano kuna haja gani kwa mkoa wenye wabunge wengi wa CHADEMA kupewa tena wabunge wa vii maalum. Na kwenye tayari mbunge wa kuchaguliwa jee kuna haja ya kuteua tena mbunge wa kiti maalum ili afanye nini?

Ingekuwa bora kama CHADEMA ingechagua wabunge wa viti maalum (wanaofaa lakini) kutoka kwenye ile mikoa na majimbo ambayo hayana wabunge wa kuchaguliwa. lengo ni kutumia wabunge hao wa kuteuliwa kama changamoto kwa wabunge wa kuchaguliwa wa CCM (WATCH DOG).

Kilimanjaro ina haja gani tena ya kuwa na mbunge wa viti maalum kuliko Mtwara, au Mbeya mjini kuliko jimbo la Rungwe?

Mbunge wa kiti maalum hana jimbo, utamuhusishaje na mkoa? Au kwa ukabila?
 
nafikiri ndio maana hawakutangaza walitaka kwanza kuangalia ni wangapi watapita katika kuchaguliwa then waongezee na viti maalum, lakin hili la kupeleka kule ambako bado kumepoa ni lamsingi sana kama vile lindi, mtwara na dodoma ili kupeleka chachu ya maendeleo.
 
Kwakua bado hajatangaza majina ni vema wakasikiliza maoni ya watu, kama ilivyo kauli mbiu yao ya nguvu ya umma.
 
Ni kweli kwamba hakuna jinsi ya kufanya kubadili mpangilio wa majina 105 yaliyopelekwa tume ya uchaguzi? Siyo kweli bwana. wale wale 105 ndani yao wanatoka kwenye mikoa isiyo na wabunge na wengine wanatoka kwenye mikoa yenye wabunge. yapo majina kama Reggia Mtema na Halima Mdee yataondolewa kwa nini nafasi zao zisichukuliwe na wengine kutoka kwenye maeneo yasiyo na wabunge?

Kimtazamo kama anavyosema REV. Kishoka, Mwanakijiji na wengineo, CHADEMA ni lazima ijitofautishe sana katika kufanya mambo yake. Wake wa wakubwa, viongozi wa juu wa chama ndiiyo chaguo la kwanza kama ilivyo ndani ya CCM. Hilo ndilo tunalotaka libadilishwe ndani ya CHADEMA.
Chadema wakiwapitisha kwa upendeleo hao wa wabunge wa viti maalumu basi panapo majaliwa 2015 kura yangu wataikosa na nitapiga kura ya maruhani-habari ndio hiyo Chadema hatukukesha vituoni kuwafurahisha nyinyi wakubwa na watoto wenu
 
Hukutupa kura yetu kwa hiyo subiri tena 2015 uwape sisi m.
Msitake kuanza fujo za vyeo hapa JF. Chadema ni chama kina utaratibu wake tofauti na sisi m na si lazima tuwe na utaratibu sawa na sisi m
 
Mbunge wa kiti maalum hana jimbo, utamuhusishaje na mkoa? Au kwa ukabila?

Mkuu Kiranga,

Kitu alichokuwa anakizungumzia ndugu yetu pale juu ni kuwa mikoa ambayo imepata wabunge basi ipewe nafasi ndogo kwenye viti maalum, ili viti maalumu ving viende mikoa ambayo haina wabunge bungeni, let say its better kuwa na mbunge wa viti maalum Mtwara na Lindi than in Arusha,Moshi, Manyara, Mwanza or Dar es salaam, hii itasaidia kuwatandaza wabunge all over Tanzania, na hivyo kuongeza umaarufu mikoa ambayo bado vugu vugu liko chini.
 
Hukutupa kura yetu kwa hiyo subiri tena 2015 uwape sisi m.
Msitake kuanza fujo za vyeo hapa JF. Chadema ni chama kina utaratibu wake tofauti na sisi m na si lazima tuwe na utaratibu sawa na sisi m

Mkuu tupe formula ya kupata number ya viti maalum, nasikia inategemea na number ya kura za urais na viti vya ubunge, jee formula yake itakuwaje kama Chadema itapata wabunge 30, na kura mil4-Mil5 za urais, kwa mfano.
 
Back
Top Bottom