Profesy
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 385
- 13
Usisahau RAI na ile Jambo Leo ya Ridhwan Kikwete...:nono:siku hizi sisomi habari leo, mtanzania sijui deile nyuzi na mengine yanayofanana hayo

Lawama hizo zimejidhihirisha kwani katika orodha hiyo, mbali na watoto na ndugu wa vigogo wa chama hicho, pia wabunge wote wa viti maalumu wa Chadema waliomaliza muda wao, wakiwamo wanaogombea katika majimbo ya uchaguzi, wamerudishwa katika orodha hiyo na kupewa nafasi za juu.
Wabunge waliomaliza muda wao walioko katika orodha hiyo ni Lucy Owenya ambaye ni mtoto wa mgombea ubunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo; na ni wa kwanza, jambo linalomhakikishia ubunge ikiwa uteuzi utafanyika kwa kufuata wa kwanza mpaka wa mwisho.
Wengine ni Mhonga Ruhwanya (namba 3), Halima Mdee (5), Grace Kiwelu (9) ambaye ni mkwewe Ndesamburo, Anna Komu (13) na Susan Lyimo (10).
Pia yumo Rose Kamil Sukum (19) ambaye ni mke wa mgombea urais wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa. Aidha, kwa mfumo huo wa Chadema, wagombea ubunge ambao wamo miongoni mwa majina hayo, watajihakikishia ulaji bungeni endapo watashindwa katika majimbo hayo.
Wagombea hao wa majimbo walioko katika orodha hiyo ni Mdee wa Kawe, Leticia Nyerere (16), Kwimba; Regia Mtema (11), Kilombero na Sukum, Hanang. Wengine ni Christina Lissu Mughiwa (20) na Paulina Slaa Narcis (84).
Orodha hiyo pia imewataja Easther Matiko(2), Anna Mallac (4), Paulina Gekul (6), Conjesta Rwamlaza (7), Susan Kiwanga (8), Christowaja Mtinda (12), Mwanamrisho Abama (14), Joyce Mukya (15), Naomi Kaihula (17), Chiku Abwao (18), Raya Hamisi (21), Philipa Mturano (22) na Mariam Msabaha (23).
Wengine ni Rachel Mashishanga (24), Sabrina Sungura (25), Rebecca Mngodo (26), Cecilia Pareso (27), Subira Waziri (28), Leticia Musore (29), Helen Kayanza (30), Rosana Chapita (31), Mona Bitakwate (32), Evarim Mpangama (33), Asha Kayumba (34), Hija Wazee (35), Mary Martin (36), Sophia Mwakagenda (37), Bupe Kyambika (38), Magreth Mangowi (39), Esther Daffi (40), Jane Pesha (41), Aikande Kwayu (42) na Helga Mchomvu (43).
Pia orodha hiyo iliwataja walioteuliwa kuwa ni Rebecca Magwisha (44), Neema Msuya (45), Anastazia Manyanda (46), Selina Nguma (47), Bertha Matanwa (48), Christina Ngola (49), Lydia Mwaipaja (50), Zaituni Lubinza (51), Adelastela Kilindi (52), Hawa Mwaifunga (53), Loyce Iboma (54) na Rita Kanoro (55).
HabariLeo | Siri ya wabunge viti maalumu Chadema yavuja
You are kidding, right!?mbona JK alitaka kumpa unaibu balozi wa uingereza? tuangalieni maslahi
tatizo liko wapi? au atolewe mmoja UCHOMEKWE wewe???????
Kweli hawa jamaa wamekomaa kwa udini,angalia kati ya wabunge waliopendekezwa 55 wote ni akina sisi na wale wa upande mwingine ni 9 tuu na vile vile bado hawana nafasi ya kuteuliwa kulingana na namba zao.

baba, mama na mtoto bungeni pamoja ..........................perfect!
JF :nono::nono: Watu wanataka change, sasa kama change ndio hivyo!? :nono::nono::nono:
CCM tumesha walima sana na mambo ya undugu, urafiki....and I was expecting no special treatment for Chadema or any other party that wants to run this country. Stop making excuses for these politicians..I was expecting an open nonbiased discussion, which I guess now JF has lost it because of few/many party puppets...
If you don't see a problem there, then no wonder CCM will run this country for few more terms...CHANGE MY ***!!
Mbona husemi jinsi watoto wa vigogo wa CCM wanavyolisishwa nafasi kwenye chama hicho?
Hawa nyu kama wanaleta uchafuzi wa hali ya hewa humu JF