Hawa ndio watumishi hewa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
c9536f8ca4937082d0347953370a76e6.jpg

Ni sentensi maarufu sana kwenye ngwe hii ya Magufuli 'watumishi hewa'
Mtumishi hewa ni nani.

Kila anayeitwa mtumishi hewa alishawahi kuwa mtumishi kamili lakini kutokana na mfumo mbovu wa ajira na ulipaji wa mishahara, kusitisha ama kufukuzwa kazi au kazi na utumishi, mlolongo mrefu wa formalities nyingi hivi vitu ndio vimeleta watumishi hewa...

1. wale walioajiriwa lakini wakaacha kazi baada ya muda fulani...mfanyakazi wa serikali asipoonekana eneo lake la kazi bila sababu na bila taarifa yoyote huyu inapaswa kusimamishwa malipo yake na baada ya hapo kusimamishwa kazi. .taarifa ya kusimamishwa kazi inabidi ifike kote kunakohusika kwa maandishi na kwa muda unaotakiwa

2. Wale waliofukuzwa kazi. Mtu akishafukuzwa kazi isiishie tu kumpa barua yake ya kufukuzwa bali kwa muda sahihi taarifa hizi zifike kote kunakohusika

3. Marehemu, hao nao ni vile vile. Mtu kafa lakini taarifa zake hazibadilishwi na kufutwa kwenye kitabu cha ajira

Kufuatilia udhaifu wa kimfumo kitengo cha mishahara popote pale waliweza kuunda syndicate yao ya upigaji....na hapa ndipo watumishi hewa walipotokea na katika hili kuna ma master minds ambao wanaratibu kila kitu mpaka pesa itoke.

Utaratibu unaofanyika sasa hivi wa kuthibitisha ajira ya kila mtu na kila mtumishi wa umma kulipwa moja kwa moja toka hazina utaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa sana hili tatizo japo huu ni ufumbuzi wa muda mfupi tu...
 
Mwandishi katumia ramani ya mwaka 2011, mipaka ya kutenganisha mikoa Geita, Katavi, Rukwa, Iringa na Njombe haionekani. Takwimu za mikoa ya Geita na Dar hazionekani.
 
Mwandishi katumia takwimu za nyuma nini, Shinyanga mbona idadi ishazidi hiyo 45 kitamboo

Mwandishi kstumia ramani ya mwaka 2011, mipaka ya kutenganisha mikoa Geita, Katavi, Rukwa, Iringa na Njombe haionekani. Takwimu za mikoa ya Geita na Dar hazionekani.
Hii ndio takwimu pekee niliyoweza kuipata kwasasa lakini bado maudhui yanabaki kuwa yale yale ya tatizo la watumishi hewa
 
RIPOTI ZA WAKUU WA MIKOA KUHUSU WATUMISHI HEWA HIZI HAPA: 31 Machi 2016

Mkoa wa Arusha

Kwa upande wake ,Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Felix Ntibenda alisema mkoa huo umegundurika kuwepo na watumishi hewa 270 ambao wamekuwa wakiisababishia hasara serikali ya Bilioni 1.8 kwa kipindi cha Mwaka mmoja,

Mkoa wa Dodoma

Pia Mkuu wa Dodoma Jordan Rugimbana alisema katika mkoa wake wamegundua kwenye mkoa huo una watumishi hewa 101 ambao amedai wameisabishia hasara serikali milioni 287.3 kwa kipindi cha miezi sita.

Mkoa wa Iringa

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema katika mkoa wake wamegundua kuwa kuna watumishi hewa 15 ambapo amemweleza Waziri Simbachawene kuwa licha ya hao, kuna watumishi 145 ambao hajaonana nao huku akidai kuwa akimaliza kuonana nao huenda idadi ya watumishi hewa ikaongezeka.

Mkoa wa Kagera

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenelal Mstaafu Salum Kijuu alisema mkoa wake wamebaini kuwepo kwa watumishi hewa 14 ambao wamesababisha upotevu wa pesa za serikali Milioni 49.1

Mkoa wa Katavi

Pia Mkuu wa mkoa huu, Jeneral Raphael Muhuga alisema mkuo huo umegundulika kuwepo kwa watumishi hewa 21 ambao wameitia hasara serikali Milioni 20.7.

Mkoa wa Kigoma

Mkuu wa Mkuo huyo, Bregedia Jenaral Mstaafu Emmanuel Maganga alisema katika mkuo huo wamebaini kuwepo watumishi hewa 171 ambao wameitia hasara serikali milioni 114.6.

Mkoa wa Kilimanjaro

Mkuu wa Mkoa huo, Said Meck Sadick alisema wamebaini mkoa wake una watumishi hewa 111 ambao wameisababishia serikali hasara ya milini 281.4.

Mkoa wa Lindi

Kwa Upande wa Mkuu wa mkoa huo,Godfrey Zambi alisema mkoa wake unawatumishi hewa 57 ambao wameitia hasara serikali milini 36.2.

Mkoa wa Manyara

Kwa Upande wake mkuu wa mkoa huo,Joel Bendera, alisema mkoa huo umekuwa na watumishi hewa 42 ambao wameitia hasara serikali Milioni milioni 313.9.

Mkoa wa Mara

Kuhusu Mkuoa wa Mara,Mkuu wa mkoa huo,Magesa Mulongo alisema katika mkoa wake wamebaini kuna watumishi hewa 94 ambao wameitia hasara serikali milioni 121.

Mkoa wa Mbeya

Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya,Mkuu wa Mkuo huo,Amos Makalla alisema katika mkoa wake kumekuwa na watumishi hewa 98 ambao pia wameitia hasara serikali Milioni 459 .6.

Mkoa wa Morogoro

Mkuu wa mkoa huo,Dkt Steven Kebwe,ambapo alisema mkoa wake umegundulika kuwepo na watumishi hewa 122 ambao wameitia hasara serikali milioni 450.7.

Mkoa wa Mtwara

Mkuu wa mkoa huo, Halima Dendegu amesema mkoa wake umebainikika kuwepo kwa watumishi hewa 17, huku watumishi wengine 285 uchunguzi ukiendelea, ambapo watumishi hao 17 wameitia hasara serikali milioni 216.5.

Mkoa wa Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa John Mongella alisema mkoa wake umengundulika kuwa na watumishi hewa 334.

Mkoa wa Njombe

Mkuu wa Mkoa wa Njombe,Dkt Rehema Nchimbi alisema mkoa wake umekuwa na watumiwa na hewa 34 ambao amedai wamekuwa wakiitia hasara serikali Milioni 20.1.

Mkoa wa Pwani

Mkuu wa Mkoa huyo,Mhandisi Evarist Ndikilo alisema Mkoa wake umekuwa na watumishi hewa 150 huku akishindwa kusema hasara ya fedha za serikali kwa madai kuwa uchunguzi unaendelea.

Mkua wa Rukwa

Mkuu wa mkoa huo,Kamishna Mstaafu Zerote Steven alisema mkoa wake umekuwa na watumishi hewa, 18 na wametia hasara serikali milioni 55.6.

Mkuo wa Ruvuma

Mkuu wa Mkoa huo,Thabiti Mwambungu alisema mkoa huo umekuwa na watumishi hewa 35 ambao wameitia hasara serikali milioni 58.4.

Mkoa wa Simiyu

Mkuu wa Mkoa huo,Antony Mataka alisema mkoa huo umegundulika kuwa na watumishi hewa 62 ambao wameitia hasara serikali ya Milioni 320.9.

Mkoa wa Singida

Mkuu wa mkoa wa huo,Mhandisi Methew Mtigumwe alisema kuwa wafanyakazi hewa katika mkoa wake ni 231 na kueleza kuwa uchunguzi bado unaendelea ili kubaini zaidi.

Mkoa wa Tabora

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri alianisha kuwa katika mkoa wake watumishi hewa ni 48 ambapo wanaitia hasara Serikali Milioni 118.7.

Mkoa wa Tanga

Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela alisema kuwa watumishi hewa katika mkoa wake ni 104 ambapo alisema kuwa tathimini ya kuhakiki bado inaendelea.

Hata hivyo katika Mkoa wa Shinyanga hali ilikuwa tofauti na mikoa mingine ambapo hadi sasa hakuna watumishi hewa kutokana na mikakati iliyowekwa kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 na mkuu wa mkoa aliyepita.

Pia, Mkoa wa Songwe hauna watumishi hewa kunatokana na kwamba mkoa huo ni mpya na mkuu wake wa mkoa ameapishwa wiki moja iliyopita.

Source: Ripoti za Wakuu wa Mikoa Kuhusu Watumishi Hewa Hizi Hapa
 
Mbona nchi zilizoendea hakuna kabisa hili tatizo, hili tatizo linatokana na uroho na urafi wa watumishi wa umma, pia linachangiwa na udhibiti mbovu
 
c9536f8ca4937082d0347953370a76e6.jpg

Ni sentensi maarufu sana kwenye ngwe hii ya Magufuli 'watumishi hewa'
Mtumishi hewa ni nani.

Kila anayeitwa mtumishi hewa alishawahi kuwa mtumishi kamili lakini kutokana na mfumo mbovu wa ajira na ulipaji wa mishahara, kusitisha ama kufukuzwa kazi au kazi na utumishi, mlolongo mrefu wa formalities nyingi hivi vitu ndio vimeleta watumishi hewa...

1. wale walioajiriwa lakini wakaacha kazi baada ya muda fulani...mfanyakazi wa serikali asipoonekana eneo lake la kazi bila sababu na bila taarifa yoyote huyu inapaswa kusimamishwa malipo yake na baada ya hapo kusimamishwa kazi. .taarifa ya kusimamishwa kazi inabidi ifike kote kunakohusika kwa maandishi na kwa muda unaotakiwa

2. Wale waliofukuzwa kazi. Mtu akishafukuzwa kazi isiishie tu kumpa barua yake ya kufukuzwa bali kwa muda sahihi taarifa hizi zifike kote kunakohusika

3. Marehemu, hao nao ni vile vile. Mtu kafa lakini taarifa zake hazibadilishwi na kufutwa kwenye kitabu cha ajira

Kufuatilia udhaifu wa kimfumo kitengo cha mishahara popote pale waliweza kuunda syndicate yao ya upigaji....na hapa ndipo watumishi hewa walipotokea na katika hili kuna ma master minds ambao wanaratibu kila kitu mpaka pesa itoke.

Utaratibu unaofanyika sasa hivi wa kuthibitisha ajira ya kila mtu na kila mtumishi wa umma kulipwa moja kwa moja toka hazina utaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa sana hili tatizo japo huu ni ufumbuzi wa muda mfupi tu...
Na ndio maana CAGmstaafu L.Utouh alisema watumishi hewa ni 'ngoma nzito' isiyoweza kumalizwa leo au kesho.
 
Hii ndio takwimu pekee niliyoweza kuipata kwasasa lakini bado maudhui yanabaki kuwa yale yale ya tatizo la watumishi hewa

RIPOTI ZA WAKUU WA MIKOA KUHUSU WATUMISHI HEWA HIZI HAPA: 31 Machi 2016

Mkoa wa Arusha

Kwa upande wake ,Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Felix Ntibenda alisema mkoa huo umegundurika kuwepo na watumishi hewa 270 ambao wamekuwa wakiisababishia hasara serikali ya Bilioni 1.8 kwa kipindi cha Mwaka mmoja,

Mkoa wa Dodoma

Pia Mkuu wa Dodoma Jordan Rugimbana alisema katika mkoa wake wamegundua kwenye mkoa huo una watumishi hewa 101 ambao amedai wameisabishia hasara serikali milioni 287.3 kwa kipindi cha miezi sita.

Mkoa wa Iringa

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema katika mkoa wake wamegundua kuwa kuna watumishi hewa 15 ambapo amemweleza Waziri Simbachawene kuwa licha ya hao, kuna watumishi 145 ambao hajaonana nao huku akidai kuwa akimaliza kuonana nao huenda idadi ya watumishi hewa ikaongezeka.

Mkoa wa Kagera

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenelal Mstaafu Salum Kijuu alisema mkoa wake wamebaini kuwepo kwa watumishi hewa 14 ambao wamesababisha upotevu wa pesa za serikali Milioni 49.1

Mkoa wa Katavi

Pia Mkuu wa mkoa huu, Jeneral Raphael Muhuga alisema mkuo huo umegundulika kuwepo kwa watumishi hewa 21 ambao wameitia hasara serikali Milioni 20.7.

Mkoa wa Kigoma

Mkuu wa Mkuo huyo, Bregedia Jenaral Mstaafu Emmanuel Maganga alisema katika mkuo huo wamebaini kuwepo watumishi hewa 171 ambao wameitia hasara serikali milioni 114.6.

Mkoa wa Kilimanjaro

Mkuu wa Mkoa huo, Said Meck Sadick alisema wamebaini mkoa wake una watumishi hewa 111 ambao wameisababishia serikali hasara ya milini 281.4.

Mkoa wa Lindi

Kwa Upande wa Mkuu wa mkoa huo,Godfrey Zambi alisema mkoa wake unawatumishi hewa 57 ambao wameitia hasara serikali milini 36.2.

Mkoa wa Manyara

Kwa Upande wake mkuu wa mkoa huo,Joel Bendera, alisema mkoa huo umekuwa na watumishi hewa 42 ambao wameitia hasara serikali Milioni milioni 313.9.

Mkoa wa Mara

Kuhusu Mkuoa wa Mara,Mkuu wa mkoa huo,Magesa Mulongo alisema katika mkoa wake wamebaini kuna watumishi hewa 94 ambao wameitia hasara serikali milioni 121.

Mkoa wa Mbeya

Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya,Mkuu wa Mkuo huo,Amos Makalla alisema katika mkoa wake kumekuwa na watumishi hewa 98 ambao pia wameitia hasara serikali Milioni 459 .6.

Mkoa wa Morogoro

Mkuu wa mkoa huo,Dkt Steven Kebwe,ambapo alisema mkoa wake umegundulika kuwepo na watumishi hewa 122 ambao wameitia hasara serikali milioni 450.7.

Mkoa wa Mtwara

Mkuu wa mkoa huo, Halima Dendegu amesema mkoa wake umebainikika kuwepo kwa watumishi hewa 17, huku watumishi wengine 285 uchunguzi ukiendelea, ambapo watumishi hao 17 wameitia hasara serikali milioni 216.5.

Mkoa wa Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa John Mongella alisema mkoa wake umengundulika kuwa na watumishi hewa 334.

Mkoa wa Njombe

Mkuu wa Mkoa wa Njombe,Dkt Rehema Nchimbi alisema mkoa wake umekuwa na watumiwa na hewa 34 ambao amedai wamekuwa wakiitia hasara serikali Milioni 20.1.

Mkoa wa Pwani

Mkuu wa Mkoa huyo,Mhandisi Evarist Ndikilo alisema Mkoa wake umekuwa na watumishi hewa 150 huku akishindwa kusema hasara ya fedha za serikali kwa madai kuwa uchunguzi unaendelea.

Mkua wa Rukwa

Mkuu wa mkoa huo,Kamishna Mstaafu Zerote Steven alisema mkoa wake umekuwa na watumishi hewa, 18 na wametia hasara serikali milioni 55.6.

Mkuo wa Ruvuma

Mkuu wa Mkoa huo,Thabiti Mwambungu alisema mkoa huo umekuwa na watumishi hewa 35 ambao wameitia hasara serikali milioni 58.4.

Mkoa wa Simiyu

Mkuu wa Mkoa huo,Antony Mataka alisema mkoa huo umegundulika kuwa na watumishi hewa 62 ambao wameitia hasara serikali ya Milioni 320.9.

Mkoa wa Singida

Mkuu wa mkoa wa huo,Mhandisi Methew Mtigumwe alisema kuwa wafanyakazi hewa katika mkoa wake ni 231 na kueleza kuwa uchunguzi bado unaendelea ili kubaini zaidi.

Mkoa wa Tabora

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri alianisha kuwa katika mkoa wake watumishi hewa ni 48 ambapo wanaitia hasara Serikali Milioni 118.7.

Mkoa wa Tanga

Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela alisema kuwa watumishi hewa katika mkoa wake ni 104 ambapo alisema kuwa tathimini ya kuhakiki bado inaendelea.

Hata hivyo katika Mkoa wa Shinyanga hali ilikuwa tofauti na mikoa mingine ambapo hadi sasa hakuna watumishi hewa kutokana na mikakati iliyowekwa kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 na mkuu wa mkoa aliyepita.

Pia, Mkoa wa Songwe hauna watumishi hewa kunatokana na kwamba mkoa huo ni mpya na mkuu wake wa mkoa ameapishwa wiki moja iliyopita.

Source: http://globalpublishers.co.tz/ripoti-za-wakuu-wa-mikoa-kuhusu-watumishi-hewa-hizi-hapa/
 
Hizo ripoti za watanzania, nakuhakikishia ikiundwa tume nyingine, either watapungua au kuongezeka. Tatizo tunafanya mikurupuko bila kuwa na "benchmark ". Je hao waliofanya ile tathmini ya kwanza shinyanga walitumia benchmark ipi na hawa waliokuja kupata wengine hewa? Hapo utaona nchi haina common benchmark ktk mambo ya kitaifa. Utafikiri wasomi hamna
 
Elimu, elimu, elimu ilikuwa ni slogan Safi sana. Mambo mengi yanayofanywa ktk nchi hii yamejikita katika slogan hii.
 
Back
Top Bottom