Hawa ndio wasomi wetu wakuu.....

Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......

"Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.

Angalia kwenye hayo maneno yaliyowekewa rangi nyekundu,jamaa anazungumzia mwanamke au mwanaume....

Mtake radhi tafadhali. Yupo safi mwita25
 
hata cku moja doc huwa hajitambulishi kwenye majukwaa,utaona tu comments zake. Hiv,kuwa na diploma wakati muhas wanagraduate watu 200 kila mwaka ni ya kuandika humu? Mbona cjawahi ona ushauri wako jf doctors? Hawa ndo wanaojisifia mtaani na kufanya kazi za kuchokonoa mimba na kubaka dada zetu examination rums aafu madactari wote wanaonekana wahuni.

Umeongea kwa uchungu zaidi kuliko uhalisia. Basi sawa nina degree ya fishing na nitakuwa mtu wa kwanza kuwa na degree nyumbani kwetu. Una lingine?
 
Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......

"Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.

Angalia kwenye hayo maneno yaliyowekewa rangi nyekundu,jamaa anazungumzia mwanamke au mwanaume....

amabaye amemaliza degree yake ya fishing pale UDSM...teh teh
Ingawa umelazimisha kwa kusema hawa ndo wasomi wetu nadhani ilistairi kuwa hivi Huyu ndo msomi wetu au wenu Mwita25
 
Umeulizwa? Halafu wewe jamaa ni mshamba sana! Kuna siku ulikuwa unajitapa eti una Harrier lako unataka kwenda nalo Arusha from Dom! Kuendesha Harrier ni ujanja?
Arusha yenyewe ulikuwa hata huijui..afadhali uliadmit mwenyewe!
Rejao
Hivi Mwita25 kujivua gamba ndio inakuwa vita ya namna hii? Jamani mbona mnaboa sasa, mwache bana, mbona hukuwa unamjia juu hapo mkiwa wote upande mmoja?
 
Mleta uzi huu nadhani ameteleza tumsamehe.naomba tusitambiane kwa viigereza vyetu wala usomi wetu,cha msingi vingereza na usomi wetu unatumikaje kwa maendeleo yako na Taifa.
 
Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......

"Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.

Angalia kwenye hayo maneno yaliyowekewa rangi nyekundu,jamaa anazungumzia mwanamke au mwanaume....

Yaani wewe badala ya kusifia unyoofu wa kizungu chake uko busy kukosoa typos. This is a trifling discrepancy which cannot water down what is otherwise the best piece of contribution!
 
Kuna umuhimu wa mwandishi kuwa makini wakati wa uandishi........tukubali tunapokosolewa.......wala tusingefikisha kurasa tatu kuchambuana nani msomi na nani sio......jambo ambalo kwa maoni yangu ni kupoteza wakati
 
Hivi kila post ikianza kuchambuliwa hivi server ya JF si italipuka kwa kujaa madudu
 
Back
Top Bottom