hawa ndio wanaume wanaoongoza kuvunja ndoa za watu

Wapaka rangi pamoja na wanaowasafisha wanaume kwenye salon wote mi siwafagilii. Haina maana kuwa situmii huduma yao...natumia ila kwa uangalifu bila kuchangia vifaa.

Kinachonishangaza nimeshashuhudia wamama wanaweka miguu kwenye mapaja ya hawa jamaa infront of their husbands...hasa hawa wanaopita kwenye mabaa kutoa hiyo huduma. Mimi siwezi aisee...ntafanya hivyo salon nikijua mume wangu hanioni. Lol....na najijua kuwa mi mgumu hivyo mpaka rangi ataishia ku massage miguu hapati kitu.

Same kwa mume wangu...kuna siku nilimsindikiza akakate nywele...nilichokifanya nilibaki kwenye gari kwa kuwa sitaweza kuvumilia kuona wadada wana mscrub...wadada wa salon walipotoka nje wakakuta nimejaa kwenye gari...nadhani walishangaa kwa nini sikushuka..wale wako kibiashara zaidi kama wauza baa...ukinogewa wanakugeuza buzi.

Hata masalon ya kike ambayo wahudumu ni wanaume ...wanapenda sana kutega wake za watu, wakikuona umekuja na usafiri wa maana wanatamani kukugeuza sugar mummy...nshawasoma sana.

Kikubwa ni kutokuwa na mazoea na hao wote...wewe ni mteja na unalipia service...hakuna story za sijuhi unakaa wapi? Unafanya kazi gani? Sipendi mazoea kabisa yasiyokuwa na sababu.

Ili kujiepusha na vishawishi ni ku stay away from opposite sex. Hakuna dawa zaidi ya hiyo.

Ukubwa dawa!! na Macamera man je? nawakumbuka taratibu.
 
Hapa nakukatalia aisee. Mavyuoni kuna watoto wakali, na walimu wakiamua wanawapata kirahisi sana. Tatizo wamama wanaosoma mavyuoni wanakuwa ovyo sana darasanai, na njia ya kuepuka disco ni kwenda kujichekesha kwa walimu. Sasa ye mwalimu afanyeje... anamaliza mchezo.
sasa hapo umekataa au umekubali kwamba walimu nao wamo katika mkumbo wa kuwachukua wake za watu
?
 
Jamani naombeni msamaha in advance...inakuwaje mwanaume anakubali mkewe kuwa secretary? Yani navyowaona hawa maboss wetu ..ni ngumu kumesa. SIna maana kuwa ma secretary wote wanatembea na ma boss ila mume anakuwa na amani kweli?

dah! nilishakimbia office siku mbili tu baada ya kuajiliwa bosi akaniita ofisini kuingia tu hamad! kanivulia bidhaa zote nje.
ili mume awe na amani utulivu wa mwanamke ndio atakaomfanya mume awe na amani au asiwe nayo
 
madereva taxi
na maadereva bajaj na boda boda
na wauza au wamiliki wa mabucha...
wamiliki au mameneja wa ma bar,hotel.guest...
 
madereva eeh!
Afu wanawapa wanawake simu zao kuwasiliana na wengine, huh.

madereva taxi
na maadereva bajaj na boda boda
na wauza au wamiliki wa mabucha...
wamiliki au mameneja wa ma bar,hotel.guest...
 
Kweli hii jinsia inadharaulika!
Muuza genge
Muuza samaki na njegere
Muuza bucha
Muuza mitumba
Driver taxi
Witch doctor
Mchungaji
Sijui kabaki nani (ofisini kuna vijana walinzi wanaoosha magari, sijui nao wamo?)
Kha!
 
hilo ndo tatizo la wanawake wa jf
unabisha kitu kwa kuwa wewe na walio kuzunguka hamjawahi kuona

mimi nilipoambiwa madereva wa bodaboda wanalala hosteli za ifm
nilikataa kata kata....kumbe ni true...
 
+ mafundi nguo ili tusidharaulike tubadili tabia na tuwaheshimu waume zetu na turidhike na kile tunachopewa
 
Mie sishoneshi nguo, ndo maana nikataja wauza mitumba. Afu mapapaa wana boutique siku hizi, ukijaribishA anataka kukuadjust brazzierre!
+ mafundi nguo ili tusidharaulike tubadili tabia na tuwaheshimu waume zetu na turidhike na kile tunachopewa
 
Hakuna formula.

Mke akiwa karibu na mwanaume yeyote yule hata kama ni boss wake uwezekano wa ku cheat ni mkubwa.

Sioni uhusiano kati ya kazi ya mwanaume na tabia ya kutembea na wake za watu...suala hapo ni ukaribu

sure, point ipo hapo kwa red
 
Mie sijabisha, nimeona opportunities ambazo sijazichangamkia!
Hiyo ya bodaboda drivers niliishuhudia kwa shosti nikabaki mdomo wazi. Jamaa ana-suppy chipsi mayai na mishkaki kama baba mzazi!
hilo ndo tatizo la wanawake wa jf
unabisha kitu kwa kuwa wewe na walio kuzunguka hamjawahi kuona

mimi nilipoambiwa madereva wa bodaboda wanalala hosteli za ifm
nilikataa kata kata....kumbe ni true...
 
Mie sijabisha, nimeona opportunities ambazo sijazichangamkia!
Hiyo ya bodaboda drivers niliishuhudia kwa shosti nikabaki mdomo wazi. Jamaa ana-suppy chipsi mayai na mishkaki kama baba mzazi!

shosti wako na dereva wa bodaboda?
mnhhh.....do friends say something about us?
 
Hapo hakuna ushaidi kuwa wanaotoka nje ya ndoa huwa wanafaida sana na wanaotoka nao, ukiamua kuwa mzinzi nje ya ndoa yako umeamua haijalishi nini unapata. mfano mama anayetembea na house boy wake au mkata nyasi wake nini anapewa majani au maziwa.
 
Wapaka rangi pamoja na wanaowasafisha wanaume kwenye salon wote mi siwafagilii. Haina maana kuwa situmii huduma yao...natumia ila kwa uangalifu bila kuchangia vifaa.

Kinachonishangaza nimeshashuhudia wamama wanaweka miguu kwenye mapaja ya hawa jamaa infront of their husbands...hasa hawa wanaopita kwenye mabaa kutoa hiyo huduma. Mimi siwezi aisee...ntafanya hivyo salon nikijua mume wangu hanioni. Lol....na najijua kuwa mi mgumu hivyo mpaka rangi ataishia ku massage miguu hapati kitu.

Same kwa mume wangu...kuna siku nilimsindikiza akakate nywele...nilichokifanya nilibaki kwenye gari kwa kuwa sitaweza kuvumilia kuona wadada wana mscrub...wadada wa salon walipotoka nje wakakuta nimejaa kwenye gari...nadhani walishangaa kwa nini sikushuka..wale wako kibiashara zaidi kama wauza baa...ukinogewa wanakugeuza buzi.

Hata masalon ya kike ambayo wahudumu ni wanaume ...wanapenda sana kutega wake za watu, wakikuona umekuja na usafiri wa maana wanatamani kukugeuza sugar mummy...nshawasoma sana.

Kikubwa ni kutokuwa na mazoea na hao wote...wewe ni mteja na unalipia service...hakuna story za sijuhi unakaa wapi? Unafanya kazi gani? Sipendi mazoea kabisa yasiyokuwa na sababu.

Ili kujiepusha na vishawishi ni ku stay away from opposite sex. Hakuna dawa zaidi ya hiyo.

Kumbe unawajua vizuri (hapo kwa red) nyumba kubwa, yaani anapokuwa anakufanyia scrub anakusogezea kitumbua chake karibu kabisa na uso wao, anakuwa anakugusisha gusisha kimtego, loh!
 
Back
Top Bottom