Hawa ndio wanasiasa vijana Machachari wa Tanzania, tuwaunge mkono

Unamaana Zitto Kabwe hayumo kwenye orodha hiyo au? Naona harufu ya udini kwenye listi yako kaka.
Tupe determinants ulizotumia isije ikawa ume copy na ku paste ile List ilyopo kanisani inayosubiri kupelekwa kwa wahariri iwapambe for the year 2011!!!!
 
Back
Top Bottom