Hawa Ndio Wanaofukuza Wawekezaji

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Nimesikitika sana kusoma haya makala ya watu kama hawa wanaosadikiwa kuwa ndio wasomi na viongozi wa kesho wanaoweza kuliokoa Tanzania. Hawa Vijana wanaipeleka Tanzania pabaya na Rhetoric Zao. Mbona wanawavamia wachina na siyo wakina Smith? Nimesikitika sana. Tunahitaji wazalendo watakaoitetea taifa na wawekezaji siyo hawa wanasiasa uchwara. Mnamsema Kibonde, hawa ndio watu wa kushambuliwa siyo Kibonde anayetetea Umma wa Kitanzania. Ovyo sana, hatuwataki hapa Tanzania, wabaki huko huko ulaya wabebe maboxi na wakina mwanakijiji, Dr. Kaborou na wengine wote. Tanzania wanafiki hawakubaliki

Ujumbe ni Kwa Yohana Mashaka na Si Mwingine

Soma Mwenyewe TUSIIUZE NCHI pamoja na LAND-GRABBING
 
Nimesikitika sana kusoma haya makala ya watu kama hawa wanaosadikiwa kuwa ndio wasomi na viongozi wa kesho wanaoweza kuliokoa Tanzania. Hawa Vijana wanaipeleka Tanzania pabaya na Rhetoric Zao. Mbona wanawavamia wachina na siyo wakina Smith? Nimesikitika sana. Tunahitaji wazalendo watakaoitetea taifa na wawekezaji siyo hawa wanasiasa uchwara. Mnamsema Kibonde, hawa ndio watu wa kushambuliwa siyo Kibonde anayetetea Umma wa Kitanzania. Ovyo sana, hatuwataki hapa Tanzania, wabaki huko huko ulaya wabebe maboxi na wakina mwanakijiji, Dr. Kaborou na wengine wote. Tanzania wanafiki hawakubaliki
Mbona hauweleweki kabisa.elezea zaini ni akina nani unafumba fumba ya nini.Longa yote tujue
 
Fisadi,
Kabla hujasikitika sana naomba unitajie nchi moja tu ambayo ilifanikiwa kupiga hatua za maendeleo kwa kutegemea wawekezaji. Investment has to be only part of the development process. Waulize rafiki zetu wa Malaysia na Thailand.
 
Hao hao uliowataja Malaysia, walifikaje hapo walipofika bila wawekezaji?
 
Wawekezaji gani wa Nyamongo, Bulyanhulu, Geita, Buzwagi na Buhemba au? Au wawekezaji kwenye ardhi yetu wanaotunyemelea tukiwa bado usingizini wananyakua ardhi baada ya muda tukiamka tunakuta hakuna hata pa kulima bustani?
 
Fisadi,
Kabla hujasikitika sana naomba unitajie nchi moja tu ambayo ilifanikiwa kupiga hatua za maendeleo kwa kutegemea wawekezaji. Investment has to be only part of the development process. Waulize rafiki zetu wa Malaysia na Thailand.

kwa kuongezea tu kwa soko huria la sasa na hii globalization hakuna muwekezaji atakuja kuwekeza katika hevy industry katika nchi masikini. Sasa ni jukumu la serikali kuwekeza kwenye viwanda, hawa wawekezaji wanakuja ni kwenye madini na nishati tu.

Makosa makubwa yalikuwa ni kukosa mipango mizuri kuvifufua viwanda vyetu
 
Wawekezaji gani wa Nyamongo, Bulyanhulu, Geita, Buzwagi na Buhemba au? Au wawekezaji kwenye ardhi yetu wanaotunyemelea tukiwa bado usingizini wananyakua ardhi baada ya muda tukiamka tunakuta hakuna hata pa kulima bustani?

hacheni ubishi wakina mashaka wanaweza kuleta machafuko katika nchi ambayo rais wetu mpendwa JK anajaribu kuleta amani kila siku. Nyie chaema mmefilisika na mada.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom