Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote

Kilichonisikitisha zaidi ni Shinyanga kuwa Mkoa wenye wakazi masikini.
Hivi Waziri Mkuu aliipitia hiyo list kabla hajaitangaza?
Maana ni aibu.

Mgodi mdogo uliopo nzega wa RESOLUTE T LTD inamana unalipa kod kubwa kulko GGM,BULYANKULU,etc inaniwia vgumu kuamin hlo!
Ndibalema said:
Kilichonisikitisha zaidi ni Shinyanga kuwa Mkoa wenye wakazi masikini.
Hivi Waziri Mkuu aliipitia hiyo list kabla hajaitangaza?
Maana ni aibu.
Migodi ina wenyewe.Hawawezi kujilipisha kodi.Mali za serikali siku hizi siyo za umma tena.Kuna wanaozihodhi kwa niaba ya umma.Sasa kama zinatumika kwa maslahi ya umma ama la,hiyo ni stori nyingine.

Wakuu,Salaam!

Kwa wale mliofuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu wakati wa kuahirisha Bunge Jana alitoa pongezi na kuzitaja Makampuni au Mashirika yanayoongoza kwa kulipa Kodi hapa nchini.

Alisema kwa kipindi Cha mwaka 2005 na 2011 Makampuni hayo yamekuwa yakifanya vizuri katika ulipaji Kodi.

Aliyataja Makampuni hayo Kama ifuatavyo

Source: Speech ya Waziri Mkuu Bungeni

Haya Wakuu na tujadili na kutoa maoni yetu...

Vodacom ni kampuni kiubwa kuliko zote za mawasiliano, 'enjoys the majority of shares' Reflection yake ni nini kwenye kodi?! Wanajificha wapi?

Kuna loophpole,watu wanatafuna nchi kweli kweli.Mapinduzi yakitokea basi wale wote watanyang'anywa mali zoote walizopora Taifa.Labda kama wanaweza kuzificha ahera.Watumie akili wajuwe kuwa madaraka ni matamu lakini yana machungu yake kwasababu kesho wanaweza kujikuta hawana hata senti na wako kizimbani.Mali za wananchi si za kucheza nazo.Zinaweza kuwa kwenye majina yenu kwa sasa kwasababu mmejiaminisha mtazila forever.Ila si za kwenu.Na kama mmezipata kwa wizi,pia mtazirudisha.Sijui kwanini hawasomi alama za nyakati hawa viongozi wa Tanzania.

• Thanks
Reactions: EMT
Resolutes ni kampuni ambayo imepewa tenda na Wawekezaji wa migodi kuchimba madini. Inakuwaje Resolutes ipo kwenye list ya wanaoogoza kulipa kodi lakini Migodi yenyewe hawapo kwenye list..!
Wana JF mnanielewa?
Mfano mimi nina duka langu la reja reja, nimemwajiri bwana mangi awe anaenda duka la jumla kuninulia bidhaa kwa ajili ya duka langu la rejareja.
Kisha kila mwisho wa mwezi namlipa mangi mshahara wake fixed. Lakini kwa ulipaji kodi Mangi awe anaongoza kulipa kodi kwa Serikali kuliko mimi boss wake.
Nashangazwa sana.

Huo ujinga upo,ni ujinga wa kibepari.Hata Warren Buffet alishangazwa juzi kuwa secretary wake analipa tax zaidi kuliko yeye.Kwa taarifa yako hiyo pesa ambayo ilitakiwa walipe kodi inakwenda kwenye mifuko ya watu binafsi badala yakusadia kwenye matatizo ya wananchi.

Aiseeee, madini yetu jamani,Barrick, Richland Co. Ltd, Songas, wapi Tanesco, wapi makampuni ya mafuta, wapi Vodacom, tigo, inashangaza kweli, dhahabu = dollars, hatuoni lolote, shame, madini, madini, i am speechless, Serikali plse, plse review the tax to these companies, hurry up....!!!

PM nae kichekesho. Kamati ya bunge hesabu za serikali imedanganywa katika hili. Wapi vodacom na tigo? Na zinatunganya eti vodacom a leading cellular network na sasa hivi kazi ni kwako. Tigo nao wezi watupu. Kamati ya bunge husika ifuatilie hili suala kwa ukaribu

Vodacom inawezekana kweli wasiwe wanaongoza kulingana na namna ya biashara yao ilivyo, Vodacom wameoutsource sana kuna makampuni mengi sana ambayo yanafanya kazi na Vodacom mfano: Kuna Nokia siemens Networks ambayo wanashughulika na Operations nzima, kuna Linksoft, Maktech, Northern Engineering Works Ltd, kuna L-Link, kuna masuperdealer kama watano, kwa haraka haraka kuna makampuni zaidi ya kumi ambayo Vodacom ndo mteja wao mkubwa na nina uhakika nao wanalipa kodi serikalini.

Kwa ku'outsource baadhi ya vitengo haimaanishi kuwa faida inayopatikana ni ndogo.
Kinachobadilika ni kuwa kampuni husika inakuwa imepunguza tu mzigo kiasi fulani mf. ufuatiliaji n.k lakini mapato yapo pale pale au yanaongezeka zaidi.
TPA imeoutsource kitengo cha makontena kwa TICTS lakini both TPA na TICTS wapo kwenye list.
Mapato yanaenda ktk mifuko ya watu wachache badala ya kuingia Serikalini.

• Thanks
Reactions: FJM

Mr. President said:
Aiseeee, madini yetu jamani,Barrick, Richland Co. Ltd, Songas, wapi Tanesco, wapi makampuni ya mafuta, wapi Vodacom, tigo, inashangaza kweli, dhahabu = dollars, hatuoni lolote, shame, madini, madini, i am speechless, Serikali plse, plse review the tax to these companies, hurry up....!!!
Kwa hiyo ina maana haya makampuni hayana faida yoyote kwa nchi yetu?Ebu tuwekeeni ni kiasi gani cha kodi wanalipa?Misamaha?Kwasababu nasikia hata makampuni nayo huwa "yanajivua gamba" ili yaonekane ni mageni/mapya na yapate misamaha ya kodi.
Kwani hakuna viwango(tax brackets) vya kodi based on mapato ya kampuni hizo?

Mi naona hii thread inakoelekea hamna tija yoyote! Bora kujikalia tu kimya! Aliyeanzisha hii thread hata hana uelewa wowote kuhusu kodi!
Kodi ina sheria zake na mipaka yake, chamuhimu kabla mtu hujaandika pumba humu, pitia vizuri Income Tax Acts na addendum zake zote, pitia pia audited financials za hayo makampuni ndio utajua kama wanastahili kulipa kodi ama lah!
Kulalama tu hapa mnaonekana kama wendawazimu!

Kwa ku'outsource baadhi ya vitengo haimaanishi kuwa faida inayopatikana ni ndogo.

Kinachobadilika ni kuwa kampuni husika inakuwa imepunguza tu mzigo kiasi fulani mf. ufuatiliaji n.k lakini mapato yapo pale pale au yanaongezeka zaidi.

TPA imeoutsource kitengo cha makontena kwa TICTS lakini both TPA na TICTS wapo kwenye list.

Mapato yanaenda ktk mifuko ya watu wachache badala ya kuingia Serikalini.

Mkuu unachosema inaweza kuwa kweli, lakini kutumia contractors lazima gharama itakuwa juu ni sawa na wewe kama utaamua kujenga kibanda chako ukaamua utumie mafundi utakaowatafuta mwenyewe au contractors halafu linganisha gharama. Labda tuwaulize TRA kwa nini kampuni kubwa kama Vodacom na yenye wateja wengi kuliko kampuni nyingine ya Simu inalipa kodi kidogo.

Mi naona hii thread inakoelekea hamna tija yoyote! Bora kujikalia tu kimya! Aliyeanzisha hii thread hata hana uelewa wowote kuhusu kodi!
Kodi ina sheria zake na mipaka yake, chamuhimu kabla mtu hujaandika pumba humu, pitia vizuri Income Tax Acts na addendum zake zote, pitia pia audited financials za hayo makampuni ndio utajua kama wanastahili kulipa kodi ama lah!
Kulalama tu hapa mnaonekana kama wendawazimu!
Wewe ndiye Mwendawazimu kwani unamlaumu mleta mada just kwa kuweka tu list ya mashirika yanayoongoza kwa ulipaji kodi.
Kama unanufaika kwa namna moja au nyingine kwa hayo makampuni yanayokwepa kulipa kodi just shut up your mouth acha watu wajadili.

Mi naona hii thread inakoelekea hamna tija yoyote! Bora kujikalia tu kimya! Aliyeanzisha hii thread hata hana uelewa wowote kuhusu kodi!
Kodi ina sheria zake na mipaka yake, chamuhimu kabla mtu hujaandika pumba humu, pitia vizuri Income Tax Acts na addendum zake zote, pitia pia audited financials za hayo makampuni ndio utajua kama wanastahili kulipa kodi ama lah!
Kulalama tu hapa mnaonekana kama wendawazimu!

Tatizo hizo tax acts zenyewe zimejaa ubabaishaji na haingii akilini kuwa nmb iongoze kwenye kulipa kodi alafu Barick isiwemo kwenye lists, yani utake au usitake ccm na serikali yenu ya kifisadi imefikia kwenye critical point watanzania wameamka nowdays sio wale wa miaka ya ujima.
Rejao wewe mwenzetu unaishi peponi ndomana huna uchungu na nchi hii kila kitu kikisemwa hata kama kipo wazi kazi yako kuitetea cccm na serikali lakini kumbuka its too rate chama cha mafisadi hakisafishiki tena unajichosha bure we are so tired na madudu ya serikali ya ccm sasa.

Sikulaumu mkuu,
Nitamuona mtu ana akili sana kama atailaumu serikali kwa kutotoa darasa la kodi kwa wananchi wake!
Naona wengi sheria za kodi zimewapitia kushoto kama huyu mbunge aliyeta hii mada!
Siyo kosa lenu lakini!

Similar Discussions

Back
Top Bottom