Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote

Navunja line yangu ya voda sasa hv,thats y airtel walitushauri sana tuhamie airtel,kumbe wanalipa kodi,nahamia airtel rasmi.
 
@Regia mtema. Haya ndio aina ya mabandiko n mijadala tunapenda kusoma na kuona inaazishwa na wabunge wetu. Big up sana.............

Kuhusu mada
Bhakresa
je na makampuni yake niliwai kusikia ni yuko katika big tax payer w Tanzania!!!!!!. Mbona hayumo???? wakiunganisha kampuni zake zote chini ya umbrella moja hayumo kweli ?

BTN
Obsearvation nyingine uchumi wa nchi yetu unaedeshwa naPombe na sigara. teh teh teh eh Japo nami ni mkamata kilaji this is not a good sign of a healthy economy + healthy citizen

Ni maoni tu
 
Regia ebu ongeza kwenye list ifike japo kampuni 50 tuone labda zile kampuni za kagoda na EPA zinweza kuwa zinaturudishia chenji kwa kodi

Alafu tyarisheni n mtuletee na mchangamunuo wa kuonyesha kila walipa kodi kodi wakubwa kwa kila mkoa ikiwezekana na wilaya tuone.
 
Regia ebu ongeza kwenye list ifike japo kampuni 50 tuone labda zile kampuni za kagoda na EPA zinweza kuwa zinaturudishia chenji kwa kodiAlafu tyarisheni n mtuletee na mchangamunuo wa kuonyesha kila walipa kodi kodi wakubwa kwa kila mkoa ikiwezekana na wilaya tuone.
Mkuu hyo 15 bora nimeitoa toka kwwnye Hotuba ya Waziri Mkuu hivyo sio rahisi kupata 50 bora kwa sasa ila tutajitahidi kutafuta information Kama ulivyoshauri.
 
Jamani, REJAO, RITZ na ECOLI, hebu anagalieni avatar zao na michango yao hapa jamvini, hao ndiyo wataalamu waliotumwa kuja kutetea CCM hapa jamvini.Kumbe ndiyo maana tuna serikali lege lege.
Mnabweka tu kuilaumu serikali kwa kutokusanya kodi!
Hamjui kuwa kukusanya kodi ni jukumu la kila mwananchi na si serikali!!
Hatuitetei CCM, tunajarinu kuwaelimisha mambumbumbu kama wewe!
 
Kinachishangaza tanzania ni kampuni za Cement kuwa top alafu tunashangaa kwa nini watu hawana nyumba bora. Au hizo kodi ni za cement inayouzwa nje ya nchi? Next time Tutasikia walipa kodi wakubwa ni BP, oil com,

Ni sawa na usikie TANESCO ni mlipa kodi mkubwa basi ujue policy makers wetu wa kodi na wizara ya fedha hawajtulia kichwani.

In my view Kampuni za cement hazitakiwi kuwepo kwenye list hii bora nafasi yao ingechukuliwa na kampuni za madini


Inashangaz pia most of the companies zinaiuza badhaa zake ndani ya Tanzania tu. Naamin hakuna kampuni atika zilizotajwa ambayo hata 30% ya mapato yake inatokana na export.
 
Jamani, REJAO,RITZ na ECOLI, hebu anagalieni avatar zao na michango yao hapa jamvini, hao ndiyo wataalamu waliotumwa kuja kutetea CCM hapa jamvini.Kumbe ndiyo maana tuna serikali lege lege.

Na ninyi mnao tetea wabunge wasio na akili na wenye kuweka nguvu kwenye majukumu ya kipumbavu kama kutuma picha na kutoa ratiba za maandamano ndio mnasababisha tunakuwa na bunge la kijinga na upinzani dhaifu.
 
Imeniuma sana, kwa kweli kuna haja ya kufanya reformation kwenye baadhi ya sector..hasa bandari ambayo inatumiwa na nchi zaidi ya tano..Vodacom nao siwaamini..tumulike na Barick yenye migodi zaidi ya mitatu lakini bado haiko kwenye top ten. Ni aibu!!
 
Kinachishangaza tanzania ni kampuni za Cement kuwa top alafu tunashangaa kwa nini watu hawana nyumba bora. Au hizo kodi ni za cement inayouzwa nje ya nchi? Next time Tutasikia walipa kodi wakubwa ni BP, oil com,Ni sawa na usikie TANESCO ni mlipa kodi mkubwa basi ujue policy makers wetu wa kodi na wizara ya fedha hawajtulia kichwani.In my view Kampuni za cement hazitakiwi kuwepo kwenye list hii bora nafasi yao ingechukuliwa na kampuni za madini
Mkuu Tanzania in a majengo mengi na mazuri kwa sasa..Lakini nadhani ujenzi wa shule za kata na wenyewe umechangia sana kwa Makampuni ya simenti kupata faida mzuri..
 
Mnabweka tu kuilaumu serikali kwa kutokusanya kodi!
Hamjui kuwa kukusanya kodi ni jukumu la kila mwananchi na si serikali!!
Hatuitetei CCM, tunajarinu kuwaelimisha mambumbumbu kama wewe!
siwezi kushangaa kwa nini nchi yetu ni maskini hadi sasa hivi kwa kuwa na watu kama hawa madarakani, na siwezi kushangaa kuwa wewe upo ikulu na ni mfanya kazi wa ikulu.na sishangai kwa nini serikali imepunguza kodi kweney makampuni ya madini.. sitaki kuumiza kichwa changu kushangaa
 
Wakuu,Salaam!

Kwa wale mliofuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu wakati wa kuahirisha Bunge Jana alitoa pongezi na kuzitaja Makampuni au Mashirika yanayoongoza kwa kulipa Kodi hapa nchini.

Alisema kwa kipindi Cha mwaka 2005 na 2011 Makampuni hayo yamekuwa yakifanya vizuri katika ulipaji Kodi.

Aliyataja Makampuni hayo Kama ifuatavyo;

12. Resolute(T) LTD. Shilingi Bilioni 32.1

Haya Wakuu na tujadili na kutoa maoni yetu...

source:hotuba ya waziri mkuu bungeni tarehe 28/8/2011.

Hotuba ya waziri Mkuu haiko sawa kwasababu:

Huo ndo mgodi mdogo wa dhahabu kuliko yote Tanzania, naongelea productionwise. Je, ni kiasi gani migodi ya Barrick Bulyankulu, Tulawaka, North Mara na Buzwagi imelipa kama kodi Serikalini?

Je, GGM imelipa kiasi gani kwa kipindi hicho?

Mbona Tanzania ndio mzalishaji mkubwa wa 3 wa dhahabu duniani na migodi inayoongoza hapa Tz, ni ile ya GGM na Barrick wakati kwenye ripoti ya PM, hawapo?
 
Duh sijaona Vodacom, Tigo, Serengeti lazima hizi kampuni kuna mikono ya mafisadi badala ya kwenda serikalini kodi hizo wao ndo wanakula. Hawa Voda si wanajigamba ndo wenye wateja wengi TZ iweje wamepitwa na airtel katika ulipaji kodi??

Hiyo vodacom si ndio rostam mwenyewe au?
Toka lini akalipa kodi Tanzania?kodi zote analipa uarabuni
 
siwezi kushangaa kwa nini nchi yetu ni maskini hadi sasa hivi kwa kuwa na watu kama hawa madarakani, na siwezi kushangaa kuwa wewe upo ikulu na ni mfanya kazi wa ikulu.na sishangai kwa nini serikali imepunguza kodi kweney makampuni ya madini.. sitaki kuumiza kichwa changu kushangaa
Wewe unahitaji elimu ya ziada kuhusu kodi!
Kuna aina nyingi za kodi, iliyoripotiwa hapa na huyu muandaa maadamano wa CDM ni kodi ya makampuni ambayo inabase kwenye net income! Kama kampuni ipo audited vizuri na approved auditors, ikariport income ndogo, au wakati mwingine loss, unategemea itakuwa na kodi kubwa? Usiangalie ukubwa wa kampuni tu, angalia na costs za opperation na at the end wanabakiwa na net income kiasi gani
 
Ni kuleta hasira tu kwa wa Tanzania. NMB ya walala hoi ndo inaongoza hata haya ma migodi? Sasa si tubaki na benki tu na kuwafukuza wawekezaji kwenye madini?

Halafu, jana PM anasema mikoa mitano ya mwisho kwa uchumi wa watu wake kuwa ni pamoja na Shinyanga, Kigoma, nk, huku akitaja fursa zilizopo kwenye mikoa hiyo kuwa ni pamoja na kilimo cha pamba, ufugaji, nk (hakutaja madini), ALINIUDHI MIMI? Yaani unawezaje kuitaja Shinyanga bila kueleza fursa za madini? Au madini haya kweli si ya kwetu, ooo my God.

USANII MTUPU HAPA
madin yana wenyewe. Haujui hilo?
 
where is stanbic ambako serikali inakopa mamilioni ya dola? Tanzanite found only in TZ mchango wake uko wapi? Tuliambiwa na Hosea akiwakamata mafisadi uchumi utayumba maana wanaumiliki vipi mbona kwenye kodi hawana mchango? Kumbukeni hotuba ya Nyerere mei mosi mbeya alitetea mashirika ya umma kubinafsishwa kwa kuwa hayakwepi kodi na pia faida yake inaingia serikali(nmb) na kuipa uwezo kuborehsa huduma za jamii, while on the other hand private companies kama voda wanakwepa kodi na faida wanapeleka nje.
 
Hiyo vodacom si ndio rostam mwenyewe au?
Toka lini akalipa kodi Tanzania?kodi zote analipa uarabuni

Jamaa anagawa ugua pole za khanga,t shirt, kofia nchi nzima kumbe nae anasamehewa kodi dah kweli hawa CCM majuha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom