Hawa ndio wajumbe wapya wa bodi ya mct

Jun 9, 2011
16
7
[h=3][/h]
Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPC
Rais wa MCT Jaji Kisanga (kulia) akikaribishwa katika kiti chake baada ya kuchaguliwa kwa kura za kishindo kuongoza MCT
Katibu wa IPC Frank Leonard akipiga kura yake kumchagua mjumbe wa bodi kupitia vyombo vya habari japo bila shaka kura yake ilikwenda kwa mwenyekiti wake Keneth Simbaya
WAJUMBE wa baraza la habari Tanzania (MCT) wamempitisha kwa kura za kishindo kwa mara nyingine Rais wa bodi ya MCT aliyemaliza muda wake jaji Robart Kisanga kuendelea kuongoza nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
 
Back
Top Bottom