Elections 2010 Hawa ndio viongozi wa ccm

CCM wanaamini walizaliwa waongoze milele
Lakini uzuri wa huyu mbunge ameweka maslahi ya wananchi mbele zaidi ya chama.Michango yake ndani ya bunge na nje ya bunge imekuwa niya kuvutia.Kama mkuu wa mkoa naye angekuwa jeuri zingechapwa.
 
Back
Top Bottom