Hawa ndio mabingwa wa kuropoka bungeni

Nalifahamu bro. Linaitwa Anne "Madirisha" ya Machela. Nadhani huyu ndiye mwanamke amayeshikilia rekodi ya UNAFIKI Afrika Mashariki na kati.

Wakati ule Lowa-hasa ananyolewa kwa chupa bila ganzi, naye alisimama na kukaripia, kwa nguvu huku akihusisha akina Jeetu Patel na EPA.

Kumbe ni unafiki mtupu, maana baadae ilikuja kugundulika kuwa hata ndoa yake na mzee 'Machela ya ICU' ilifadhiliwa na Jeetu Patel kwa sh.milinni 100.

yule mama huwa anaongea as if yeye sijui ndo nani huwa ananikera kwelikweli yaani anabwabwaja mimate inamwagika kama kwenye bomba la maji yaani siku nikimuona ntamwambia live simpendi
 
ndugu yangu hilo ni shairi au ngonjera nimejaribi kusoma nikajikuta nakatikiwa na pumzi.
kifupi kama huwezi kuandika kitu kikasomeka bora uwe msomaji tu.
ccm walizoea kusinzia bungeni sasa wameingia vijana na staili mpya wanachanganyikiwa,mimi sioni shida kwa hawa vijana mimi nawapongeza wote wa ccm na vyama vya upinzani.bungeni ni mahali pa kupeleka mawazo ya wananchi na kuwatetea.hii staili ya miaka yote yakusinzia bungeni itafika mahali itakufa na tusishangae spika akauliza kwa nini watu hawasinzii tena?

kaka Ringo nashukuru kwa kuliona hilo.
 
Kama hiyo ndivyo ilivyo basi ingefaa huyo 'anga' katibu aseme wabunge wengi viti maalum wa magamba ni vilaza na wapo pale bila kujua kanuni za bunge. Mbona hatusikii kuzomea kwao kukisemewa kwamba ni ukosefu wa utu uzima. Inaonekana hata wewe nyamungo ni kilaza pia una magamba.

umenena vyema na kwa uhakika. Hivyo ndivyo great thinker anavyopaswa kuwa. Naunga mkono hoja.
 
hivi kuna mtu anaropoka bungeni kumshinda mama makinda?

yule ndio kinara. Yeye pamoja na wenzake wa Chama Cha Magamba (ccm) wamezoea kuropoka na huyo 'Kipaza sauti' Makinda anapotezea. Lakini ikitokea kwa chama kingine inakuwa nongwa. Si unajua nyani haoni kundule!
 
Waropokaji sijui walopokaji ndio wanateuliea uwaziri
Refer Juma & Madellu
 
1975182_729728717059432_1623481568_n.jpg
 
Kama mungu angekuwa anatuchukua kwa umbea tu wewe usingekuwepo make uongo wako hata shetani hautambui.
 
Back
Top Bottom