Hawa ndio mabingwa wa kuropoka bungeni

Naanza kwa kuhoji ikiwa katibu wa bunge la Tanzania Thomas Kashilila ana matatizo ktk mfumo wake wa kumbukumbu na fikra. Hii ni kutokana na taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari jana.

Kashilila anadai wabunge wengi wanaoropoka bungeni ni wageni. Na katika kupigilia msumari hoja yake hiyo mufilisi akatoa mfano wa kauli ya mbunge machachari wa CDM kuwa eti naye aliropoka aliposema "funga mlango tupigane."

Kupigana kwa tafsiri ya haraka ni kushambulia,kurusha kombora,au miale kwa mtu mwingine. Kushambulia huku hakujatajwa kuwa ni kwa mwili tu, bali hata kwa hoja. Kwa tafsiri hiyo kumbe mtu anaweza KUPIGANA na mtu kifikra (arguments). Yaani kurusha miale au kombora la hoja kwa mwingine ni kupigana bt si kimwili.(kupigana kwa hoja).

Hivyo basi kwa mtu yoyote mwenye fikra pana hawezi kukurupuka na kudai Lema alimaanisha kupigana kwa maana ya body fighting. Huenda Lema alimaanisha kupigana kwa hoja. Nani ajuaye?

Hivyo si kweli kuwa Lema aliropoka. Kama Lema hakuropoka ni nani basi aliyeropoka au mwenye tabia za kuropoka bungeni.

Vinara hawa hapa:
1.Stella Manyanya
2.Simbachawene
3.Ole Sendeka
4.John Momose Cheyo
5.January Makamba.

Nitaeleza kwanini hawa, lakini kwanza tuangalie tafsiri ya neno KUROPOKA.

Kuropoka kwaweza kuwa ma tafsiri zaidi ya moja.

Kwanza ni kutoa kauli yoyote ya matamshi na kuingilia maongezi ya msemaji wa awali.

Pili ni kutoa kauli au taarifa usiyoijua vyema kwa undani wake.

Eng.Stela Manyanya aliwahi kuropoka bungeni aliposema CHADEMA kinahusika na mauaji ya Arusha kwa kuwa kiliratibu maandamano batili. Kwa kutumia tafsiri ya pili, Manyanya ALIROPOKA.

Simbachawene aliwahi kuingilia maongezi ya Spika kwny bunge la mwezi february ambapo Makinda alikuwa akitoa mwongozo ulioombwa na Mhe.Halima Mdee. Kwa kuwa Simbachawene aliingilia maongezi ALIROPOKA.

January Makamba huyu ndio kilaza kbs. Aliwahi kukitetea Kiswahili bungeni, kumbe hata hajui dhima hasa ya kiswahili ktk bunge la Afrika. Akakosolewa waziwazi na waziri Membe. Kwa kuwa January aliongea vitu asivyovijua naye ALIROPOKA.

umesahau lile limama limoja huwa linanuka mdomo linaropoka kama litoto linaitwa ann kadirisha nadhani ushamjua
 
Kuna taarifa za uhakika kutoka Bungeni kuwa aliyetoa kauli ya kutaka mlango ufungwe ili zichapwe siyo Godbless Lema, bali ni Joseph Mbilinyi 'Sugu' Mbunge wa Chadema kutoka Mbeya Mjini. Nawasilisha
 
Na ww umeropoka kwani hujui kanuni za bunge vizuri , jivue gamba kwa kuzisoma na kuzielewa ! hansard za bunge zaonyesha Lema ndio alisema funga mlango tupigane - umeropoka pia !
Wewe utakuwa na mimba changa inakusumbua sana sema tukuletee maembe machanga....
 
Kuna taarifa za uhakika kutoka Bungeni kuwa aliyetoa kauli ya kutaka mlango ufungwe ili zichapwe siyo Godbless Lema, bali ni Joseph Mbilinyi 'Sugu' Mbunge wa Chadema kutoka Mbeya Mjini. Nawasilisha
Kuna m mwana jamvi jana alisema
Kwanza nadhani aliyetamka maneno 'funga milango tupigane' sio Lema, ni mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe Haule. Sielewi kwanini lema anahusishwa na ile kauli

...nawakumbusha-Mbunge kijana wa Mtera (CCM) Job Lusinde a.k.a Bajaj alipata kusikika akisema milango ya bunge ifungwe wapigane.

hii ya Dodoma ni zomeazomea na kauli tu lakini mabunge kama ya Kenya, Israel, India na Uingereza ngumi na zomeazomea ni mambo common, je nako wabunge wengi ni vijana na wageni? Kashilila unajiharibia heshima yako mbele ya jamii.
 
Aliyesema funga mlango tupigane kwa mara ya mwisho alikuwa mbunge wa CCM-Ludewa Deo Filikunjombe
 
Hahahaha kweli Chadema mko hapa JF kikazi zaidi naona mnajaribu kusawazisha Uropokaji wa Lema Bungeni! Kupenda kubaya jamani naona mnatumia hoja za ushabiki Mahaba kutetea Ujinga wa Lema!

MLENGO WA KATI, una mawazo mgando na fikra kurupushi. Hivi hicho chama cha zamani (ccm) kinakulipa bei gn kukipigia vuvuzela?

Hivi nani asiyejua kuwa ccm ni mabingwa wa kuropoka? Na wamekuwa wakiropoka kwa muda mrefu bila kuchukuliwa hatua zozote.

Tar.15/02/2011 (fuatilia kwny Hansard) wakati Tundu Lissu anachangia kuhusu hoja ya kambi rasmi ya upinzani, wabunge kadhaa waliropoka.

Alianza mzee mapesa ambaye saivi amefilisika, mzee Cheyo kwa kusema "kaa chini hujui unachosema..."

Kisha Sophia Simba akadakia "huna uzoefu na bunge, uliza uambiwe." Lakini hao wote walizungumza bila kupewa ruhusa na Spika, na waliingilia maongezi ya Mhe.Lissu. Kwa maana hiyo WALIROPOKA.

Na imekuwa desturi kwa wabunge wa ccm wakiropoka hawachukuliwi hatua zozote yaani Spika anapotezea.

Lakini kwa kuwa imetokea CHADEMA mnataka muifanye wimbo wa taifa. Looh! Kweli kunya anye ng'ombe ni mbolea, kakini akinya binadamu ni mavi.
 
Hili ni tatizo la kuwa na wabunge wanaopenda kupata umaarufu wa haraka kama Lema kuliko kujali maslahi ya watanzania.Mfano mdogo kwamba CDM hakijali maslahi yetu ila wanajiangalia wao maana ukiangalia rasimu ya katiba waliitaka itembezwe nchi nzima maana yetu kodi yetu itumike wakati sisi tunawalipa wabunge mamilioni kwa ajili ya kutuwakilisha kwanini wasingetaka kila mbunge arudi jimboni kwake atembelee kata zake na kutoa elimu lakini wote hao ni wabunge maslahi walitaka posho za kufanya hivyo pamoja na kujenga majina.Bunge lililopita limekuwa la kitoto mno maana ajenda za msingi tunaleta ushabiki wa kisiasa hatutafika mbali maana kazi ya mwanasiasa ni kupata madaraka thats all hana jipya .Tuwe makini sana watanzania wenzangu hatari mbele yetu tuwe wazalendo na tuurudishe uzalendo maana tukitaka kila siku kuwe na fulani ndio awe spika huo ni utawala wa kiimla.Tuwape watu wafanye kazi na kikubwa wanachofanya CHADEMA na hapa simungunyi maneno ni kutaka Mama Anne Makinda ashindwe kufanya kazi kwa kuweka vijembe.Sisi hatujakutuma mbunge ukafunge lamgo au kurushiana maneno kama kwenye taarabu sisi hata kama hubishani tunataka hoja za msingi lakini kwa sababu wamelewa na posho wanajisahau na kufanya bunge ni kama sehemu ya burudani.Acheni utoto na msifanye vijana tukakosa kuaminika maana tumepata shida sana kusemwa vijana ni taifa la kesho tujitahidi kuondoam kauli mbiu hiyo na tukapewa nafasi matokeo yake tunashindwa tunataka kuonyesha kwamba waliotuchagua walikosea.Kitathmini bunge lililopita halikufanya jambo lolote zaidi ya ahadi na wabunge walipumzika.Ukiangalia hata mahudhurio yao wabunge wengi wako busy na biashara zao badala ya kuwepo bungeni.Sasa tunawalipa kodi yetu kuwe na utaratibu wa kuwepo kwenye vikao na kama kuna attendance Register na mtu asipouzulia mara tatu mfululizo onyo hakuna jana ilikuwa hivi na leo jirani ana shida wafanye kama sekta zingine za utumishi wa umma.

ndugu yangu hilo ni shairi au ngonjera nimejaribi kusoma nikajikuta nakatikiwa na pumzi.
kifupi kama huwezi kuandika kitu kikasomeka bora uwe msomaji tu.
ccm walizoea kusinzia bungeni sasa wameingia vijana na staili mpya wanachanganyikiwa,mimi sioni shida kwa hawa vijana mimi nawapongeza wote wa ccm na vyama vya upinzani.bungeni ni mahali pa kupeleka mawazo ya wananchi na kuwatetea.hii staili ya miaka yote yakusinzia bungeni itafika mahali itakufa na tusishangae spika akauliza kwa nini watu hawasinzii tena?
 
umesahau lile limama limoja huwa linanuka mdomo linaropoka kama litoto linaitwa ann kadirisha nadhani ushamjua

Nalifahamu bro. Linaitwa Anne "Madirisha" ya Machela. Nadhani huyu ndiye mwanamke amayeshikilia rekodi ya UNAFIKI Afrika Mashariki na kati.

Wakati ule Lowa-hasa ananyolewa kwa chupa bila ganzi, naye alisimama na kukaripia, kwa nguvu huku akihusisha akina Jeetu Patel na EPA.

Kumbe ni unafiki mtupu, maana baadae ilikuja kugundulika kuwa hata ndoa yake na mzee 'Machela ya ICU' ilifadhiliwa na Jeetu Patel kwa sh.milinni 100.
 
Naunga mkono hoja mkuu! Operesheni ondoa vilaza bungeni ndo imeanza hivyo!
 
mbona kb alitoa ufafanuzi mzuri? tatizo hapa ni kuwa na side toka mwanzo wa hoja.kwenye vikao kama bunge au mabaraza ya madiwani kuna kanuni ambazo zinasimamia uendeshaji wake na endapo mtu anakwenda kinyume chake zipo adhabu zake.bunge haliwezi kuendeshwa kama vijiwe vya mitaani. tujadili hoja bila ushabiki.
 
Katibu wa Bunge hakusema wapinzani ndio wanaoropoka acheni kujishuku. yeye aliongelea wabunge wapya na hasa vijana. kwani sisiem haina wabunge wa hivyo?

Kama hiyo ndivyo ilivyo basi ingefaa huyo 'anga' katibu aseme wabunge wengi viti maalum wa magamba ni vilaza na wapo pale bila kujua kanuni za bunge. Mbona hatusikii kuzomea kwao kukisemewa kwamba ni ukosefu wa utu uzima. Inaonekana hata wewe nyamungo ni kilaza pia una magamba.
 
Wakati mwingine ukiwa unajaribu kujenga hoja zako kuwa makini sana maana hata na wewe unaweza kuambiwa unaropoka na kama hutaambiwa unaropoka basi watakao kuunga mkono wote pia ni waropokaji tu.Haiwezekani msomi ama mtu mwenye akili timamu ukasapoti pumba wanazofanya wabunge pale dodoma whether ni wa ccm au cdm hata kama una mapenzi kiasi gani na hicho chama,hebu tuwe na busara kidogo ndugu zangu,kama Lema na akina Stella wanaropoka ni shurti waambiwe ili waache hiyo tabia maana siyo wote waangaliao bunge wanafurahia pumba zao.
Lets growup bana sio upenzi binafsi kwa mtu hadi unapitiliza mipaka,waweza kuwatia watu wengine mashaka na uwezo wako wa kufikiria ama utawala wako wa kimwili kwa jinsi unvyoshabikia UPUMBAVU.
BIG UP KATIBU WA BUNGE,PLAY YOUR PART,WAKICHUKIA WAKUPOTEZEE.
 
Napinga point ya kusema kuwa mbunge wa cdm asifikiriwe vibaya...kwa kauli yake "funga milango tupigane" pale bungeni ni sehemu ya hoja na sio kupigana isitoshe kila mbunge anapo iingia bungeni hupitia mlangoni na kuingia ndani ni kwa electronic card so milango huwa teyari imejifunga......so unaposema funga milango tupigane alikuwa na maana wapigane kwa kuvutana mashati...! coz kama kupigana kifikira au kimawazo au kisera ndio muda ule hiyo kazi inaendelea so...alipo sema milango ifungwa inamaana kupigana kwake anakotaka ni kwanjia mbadala baada kuwa hoja sera zimeshindikana.......wewe MZee kuwa na fikira kabla huja tetea.

Naomba kuongeza idadi ya wabunge waropokaji bungeni

6.Zito kabwe
8.Halima Mdee
9.na yule mbunge aliosema kuwa kikao cha spika ni "dark Market"
10. nahuyo aliosema funga milango tupigane.

Zitoto aliinuka juu na kuropoka kwa kusema hatoki mtu humu.

Halima mdee alisikikika akisema mnatuburuza kwakuwa nyinyi mpo wengi. aliropoka

huyo mwenigine alikurupuka na kusema kikao cha speaker na wenyeviti wa kamati wa kamati za bunge ni dark market. aliropokaaaaaaaaa

isitoshe huyo mwingine aliposema funga milango tupigane akifikiri kuwa yupo kwenye RAW uwanja wa mieleka..aliropoka pia.

so unatakiwa uangalie. kwa makini....na uache ushabiki
 
Tumechoshwa na "SIASA TAKAMAJI",LONGOLONGO na UZANDIKI tunaitaji vitendo, tendo la kwanza waeshimiwa wabunge tuawaandalie mapambano (body fighting) ulingoni, match ya kwanza Mr.II vs Mr. January.Promoter mi mwenyewe.
 
Na ww umeropoka kwani hujui kanuni za bunge vizuri , jivue gamba kwa kuzisoma na kuzielewa ! hansard za bunge zaonyesha Lema ndio alisema funga mlango tupigane - umeropoka pia !

Jivue gamba mwenyewe unayeropoka hovyo. Kikwete mwenyewe mropokaji sijui kwanini jamaa hakumtaja.
 
Back
Top Bottom