Hawa ndio ma-professor wa kitanzania!!!

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,507
3,364
Katika hali ya kustaajabisha na kusikitisha weekend hii nilibahatika kuona kituko cha professor mmoja wa lugha ya kiswahili hapo UDSM...

Mwanazuoni huyu anamiliki meza na viti viwili katika baa moja kongwe iliyopata kuwa maarufu mitaa ya mwenge karibu kabisa na kituo cha daladala cha ITV. Meza hiyo anayomiliki mwanazuoni wetu hupambwa na vinywaji na kibao kilichoandikwa V.I.P kuanzia asubuhi mpaka atapokuja mh. professor toka huko mlimani ambapo hufika na kukaa na nyumba ndogo yake na ni MARUFUKU kwa mwananchi yeyote yule kukaa katika meza hiyo ya Mwanazuoni wetu huyo V.IP.

Nimestaajabu kwa kuwa sitaki na sipo tayari kuamini kama kweli PROFESSOR wa nchi inayohitaji msaada wa wasomi wa kada yake anaweza kujisahau na kufanya VITUKO vinavyofanywa na Ma-bedeshee na wahuni waliozoeleka mjini....AIBU SANA KWAKO WEWE PROFESSOR NA KWA WANAZUONI WOTE WA TANZANIA...naomba kama kuna hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa watu wa aina hii ya professor tuzijadili na waadabishwe mara moja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....
 
Unamaanisha Prof Masamba? Pale maryland ndio sebuleni kwake,na hayo naona ni mambo binafsi sana unless kama ashakupitia na wewe kwa hiyo una wivu.Anaishi nyuma tu ya hiyo bar na wake zake wawili Shida na Mwajuma.
 
Pombe siyo Chai, na haiangalii kuwa inanywewa na nani!

Mtu kama huyo ukute alisha`divorce` zamani kwahiyo pamoja na u`proffessor yuko na mafrustrations ya maisha ya hatari, na anajaribu bila mafanikio kurudisha furaha yake ya zamani kupitia pombe na vyangudoa!

Kumwadhibu mtu wa hivyo ni kumuumiza bure, na adhabu atakayopewa itamfanya anywe zaidi na kupagawa zaidi.

Anachotakiwa kufanyiwa ni kupata ushauri nasaha taratibu.

Watu wabaya wake zaidi ni hao wanaomtengea meza toka asubuhi, wakidhani wanamtendea `customer care` kumbe wanammaliza kijinsia..too bad for him!
 
may be anaitwa hivyo ...ila kwa tabia hiyo "PROFESSOR" .....ni aibu tosha ....wake wawili ndio kigezo cah kumiliki meza baa?...sie kama watanzania tunamtegemea yeye kuwa thinktank ya nchi hii....ila kwa mtazamo wako bi natasha naona umekubaliana na tabia za professor wako...pole sana ila naheshimu maoni yako
 
Katika hali ya kustaajabisha na kusikitisha weekend hii nilibahatika kuona kituko cha professor mmoja wa lugha ya kiswahili hapo UDSM...

Nimestaajabu kwa kuwa sitaki na sipo tayari kuamini kama kweli PROFESSOR wa nchi inayohitaji msaada wa wasomi wa kada yake anaweza kujisahau na kufanya VITUKO vinavyofanywa na Ma-bedeshee na wahuni waliozoeleka mjini....AIBU SANA KWAKO WEWE PROFESSOR NA KWA WANAZUONI WOTE WA TANZANIA...naomba kama kuna hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa watu wa aina hii ya professor tuzijadili na waadabishwe mara moja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....

kuna uhusiano gani wa maisha binafsi ya Prof. huyu na kazi yake ya uprof...?sidhani kama inatuhusu sisi kwwa jinsi gani bwana huyu anaishi maisha yake binafsi......
 
may be anaitwa hivyo ...ila kwa tabia hiyo "PROFESSOR" .....ni aibu tosha ....wake wawili ndio kigezo cah kumiliki meza baa?...sie kama watanzania tunamtegemea yeye kuwa thinktank ya nchi hii....ila kwa mtazamo wako bi natasha naona umekubaliana na tabia za professor wako...pole sana ila naheshimu maoni yako

Usitishike Professor ni binadamu kama wewe mbona kuna waganga wakienyeji wanajiita ma professor?
 
Nani anajali?
Simsifii ila nasema hayo mambo ya kumiliki meza baa ni mambo binafsi zaidi ungesema anatumia pesa za chuo na yuko hapo na wanafunzi aliowashika kwenye kozi work ningekuelewa achan naye mkuu.
 
This is too personal nafikiri kwenye Global Publisher ingefaa zaidi,
 
Huyu ni mtu kama mtu yeyote, na ana roles mbalimbali kulingana na mahali alipo. Kwa mfanu akiwa anaendesha gari ni DREVA, akiwa anatembea kwa miguu barabarani ni PEDESTRIAN, akiwa nyumbani ni BABA au MAMA, akiwa baa akizidisha kinywaji ni MLEVI, aliwa darasani ni PROFESOR, nk.

Yote heri mradi havunji sheria
 
MOD hii thread mnaweza kuifanyia favor kuiweka ile sehemu yake (recycle bin)! too low for JF
 
mwacheni anywe, ni jasho lake , anatumia apendavyo, au mlitaka akapande DECI ?
 
may be anaitwa hivyo ...ila kwa tabia hiyo "PROFESSOR" .....ni aibu tosha ....wake wawili ndio kigezo cah kumiliki meza baa?...sie kama watanzania tunamtegemea yeye kuwa thinktank ya nchi hii....ila kwa mtazamo wako bi natasha naona umekubaliana na tabia za professor wako...pole sana ila naheshimu maoni yako

Mkuu Who Cares? kuna watu wanaitwa haters.
"A hater is someone who is jealous and envious and spends all their time trying to make you look small so they can look tall" Maya Angelou.
Nadhani wewe sio mmoja wapo. Wake hata akiwa nao kumi ni wake zake. Kama ana uwezo wa kumiliki hata baa nzima, anaruhusiwa. Hajaiba mali ya umma, anafanyakazi kwa mujibu wa mwajiri wake. Kizuri anafanya anayoyafanya hadharani, aibu iko wapi hapo? Hivi mpaka anakuwa profesa ulikuwepo? Unajua alipitia njia gani? Kimsingi hajafoji vyeti, hajampiga mtu, hajavunja sheria ya Jamhuri ya Muungano, so kibaya hapo kipi mazee?
 
Katika hali ya kustaajabisha na kusikitisha weekend hii nilibahatika kuona kituko cha professor mmoja wa lugha ya kiswahili hapo UDSM...

Mwanazuoni huyu anamiliki meza na viti viwili katika baa moja kongwe iliyopata kuwa maarufu mitaa ya mwenge karibu kabisa na kituo cha daladala cha ITV. Meza hiyo anayomiliki mwanazuoni wetu hupambwa na vinywaji na kibao kilichoandikwa V.I.P kuanzia asubuhi mpaka atapokuja mh. professor toka huko mlimani ambapo hufika na kukaa na nyumba ndogo yake na ni MARUFUKU kwa mwananchi yeyote yule kukaa katika meza hiyo ya Mwanazuoni wetu huyo V.IP.

Nimestaajabu kwa kuwa sitaki na sipo tayari kuamini kama kweli PROFESSOR wa nchi inayohitaji msaada wa wasomi wa kada yake anaweza kujisahau na kufanya VITUKO vinavyofanywa na Ma-bedeshee na wahuni waliozoeleka mjini....AIBU SANA KWAKO WEWE PROFESSOR NA KWA WANAZUONI WOTE WA TANZANIA...naomba kama kuna hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa watu wa aina hii ya professor tuzijadili na waadabishwe mara moja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....

Mimi ndio Prof mwenyewe na ndio natoka lecture yangu ya mwisho naelekea pale kama una shida njoo uniambie sio kulete mambo ya bar huku, wanafunzi wanafaulu vizuri haya nayofanya ni nje ya profesnal yangu. Kwa hiyo wewe ni msafi? wakiitwa wasafi utasimama? Kijana nitake radhi.
 
ahahahaha....kioo cha jamii V/S maisha binafsi....patamu hapo. tatizo hapa sio prof asiwe na maisha yake...ila maisha yake ya-reflect heshima na wajibu wake kwa jamii inayomuheshimu. Nani kati yetu hajui umuhimu wa ma-professor kwa maendeleo ya nchi yoyote ile duniani??...hawa ndio wazee wa kupekua vitabu na kufanya reserches zinazoipelekea nchi kuwa na ustawi bora wa maisha ya watu wake..wanabeba DHAMANA kubwa sana kwa maendeleo ya nchi.
Maisha binafsi yana mipaka kulingana na majukumu ya mtu katika jamii ile...kwa upande wa prof. ni mwalimu wa watu so tunatarajia matendo yake yawe pia elimu kwa watu ..awe mfano wa kuigwa...tuige nini sie wanafunzi wake katika hayo afanyayo???..
 
...tuige nini sie wanafunzi wake katika hayo afanyayo???..[/QUOTE]

.......iga anayokufundisha darasani,na mengine yake binafsi achana nayo....................
 
ahahahaha....kioo cha jamii V/S maisha binafsi....patamu hapo. tatizo hapa sio prof asiwe na maisha yake...ila maisha yake ya-reflect heshima na wajibu wake kwa jamii inayomuheshimu. Nani kati yetu hajui umuhimu wa ma-professor kwa maendeleo ya nchi yoyote ile duniani??...hawa ndio wazee wa kupekua vitabu na kufanya reserches zinazoipelekea nchi kuwa na ustawi bora wa maisha ya watu wake..wanabeba DHAMANA kubwa sana kwa maendeleo ya nchi.
Maisha binafsi yana mipaka kulingana na majukumu ya mtu katika jamii ile...kwa upande wa prof. ni mwalimu wa watu so tunatarajia matendo yake yawe pia elimu kwa watu ..awe mfano wa kuigwa...tuige nini sie wanafunzi wake katika hayo afanyayo???..

Wewe inaelekea una kitu na huyu prof
Aliyekwambia kwenye research papers kunaandikwa idadi ya beer au wake/waume ulionao nani? Maprofesa hata wa Marekani, Uropa hata China wanakunywa, wanaoana, wanafanya ngono kama kawaida. Hata huko NASA shughuli ni hiyohiyo, na vyombo vinakwea anga. Unatakiwa kuiga kuwa profesa, kama ni kuwa na wake/waume wengi au useja ruksa.
Kijana, kama uko shule soma kwa bidii
 
Back
Top Bottom