Hawa ndio bin adam.............!!!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
1.Wakikukwepa usijali iko siku watakutafuta
2.wakikusengenya nyamaza , huenda watajifunza.
3.wakikununia omba Mungu ipo siku watakuchekea
4.wakikupongeza usiwaamini labda wanakufanyia ihtizai
5.wakikutenga achana nao , wao sio kila kitu
6.wakikudhurumu shukuru, Mungu atakulipa
cheka nao ingawa si wema kwako......................!!
 
Namba 6, ukinidhurumu na deal na wewe mpaka kieleweke, mungu ataniona mjinga sana kama nitaacha haki yangu halafu eti nimtegemee yeye bila ya mimi kujishuhurisha
 
leo nimepata wazo kama hilo, father kasema...finaly if they kill you, rise again
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom