Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 633
Wakati natumia internet hapa nimeona alert Mozila 8 is available to download.
Mimi nashindwa kuwaelea mbona kuanzia version 4 wamefululiza kutoa verion mpya fastafasta? Lakini pia mbona sioni tofauti yoyote kati ya version 6 na 7,ziko sawa tu. Au hii ya 8 itakuwa na jipya gani? Mbona Google Chrome na Safari browsers zao ziko fresh tu lakini wao hawaupdate haraka haraka hivi?
Nawasilisha.....