Hawa mlimani TiVii vipi?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
cku moja nilisikiliza taarifa yao wakidai yule mjeda wa Taifa Teule Takatifu Mali ya Wayahudi Wapalestina ni makimbizi anayeshiliwa mateka na magahidi wa Hamaz kule Israel ya Gaza ati walidai ameachiwa kwa makubaliano ya kubadilishana na wajela-jela wa kipalastina.

lakini mpaka leo asubuhi nimeskia yule dogo hajaachiwa, ndo kwanza mchakato wa kumuachia unaanza kutekelezwa.

sasa hawa wasomi wetu wa Elimu kwanza walishindwa kutafsiri habari kutoka vyombo vya nje au? au ndo mambo ya field za kuuza sura kwenye TiVii?

Samtaim mnaboa bana.

Acheni izooo.
 
Tatizo lake hajasomea chuo kikuu cha dar es salaam ndio maana anaongea bila evidence.
 
Jifunze jinsi ya kuwasilisha ripoti ili kila msomaji akuelewe.
 
Naona hata thread yenyewe imeandikwa kimjini mjini aka. kikijiwenijiweni. Hii inaonyesha wewe ni mtu wa kulaumu tu bila kushughulisha ubongo wako.
 
Unaongelea SWAP DEAL..huja justify kwanini Mlimani TV wamedanganya coz hujatuambia umesikia nini kutoka kwenye vyombo vya habari vya kimataifa...Japo hiyo habari ya Mlimani Tv sijaisikia ila karibu wiki mbili sasa kama sijakosea vyombo vya habari vya kimataifa vimekua vikitangaza hivyo hivyo...Japo huyo dogo ni leo mida kama ya saa 5 au 6 kwa huku kwetu ndio amekabidhiwa kwa serikali ya Israel
 
cku moja nilisikiliza taarifa yao wakidai yule mjeda wa Taifa Teule Takatifu Mali ya Wayahudi Wapalestina ni makimbizi anayeshiliwa mateka na magahidi wa Hamaz kule Israel ya Gaza ati walidai ameachiwa kwa makubaliano ya kubadilishana na wajela-jela wa kipalastina.

lakini mpaka leo asubuhi nimeskia yule dogo hajaachiwa, ndo kwanza mchakato wa kumuachia unaanza kutekelezwa.

sasa hawa wasomi wetu wa Elimu kwanza walishindwa kutafsiri habari kutoka vyombo vya nje au? au ndo mambo ya field za kuuza sura kwenye TiVii?

Samtaim mnaboa bana.

Acheni izooo.

hey guy, its not me, its your tv. samsung tv ......the best shoots.......
 
Back
Top Bottom