hawa madingi na vitambi,vipara na mvi huku nite club wanatafta nn?

mje basi na wake zenu..
ikiwezekana na first born wako...
assuming ana 18yrz
...af mnakuaga mbele kinoma,kama hapo VIP utakuta lizee ndo limeinamia krb na strippers,na udenda unamtoka.
Du!, unavyoeleza naona noma mpaka najihisi kama vile uliniona!.
 
unakereka nani aisee!!? club nikuanzia 18+ na hakuna limit above! na fyi, ndo wanaiingizia club pesa nyingi! nyie vitoto ukinunua kibia1 utazunguka nacho wee hadi asubuhi!
 
unakereka nani aisee!!? club nikuanzia 18+ na hakuna limit above! na fyi, ndo wanaiingizia club pesa nyingi! nyie vitoto ukinunua kibia1 utazunguka nacho wee hadi asubuhi!

unahatari aisee...
piga picha mdingi wako...
cku ya j5 yuko pale club continental...
mbele kabisa...
anaangalia ****** ya mabint sawa na wanawe nyumbani...
starehe zina limit...
na kila phase unayopitia ina starehe yake...
sio lazima ukomae na ambazo zimekupita umri...
kuhusu bia moja...
hao ni malimbukeni tu...
sio lazma kwenda club km hauko poa...
wanachukulia haya mambo km fasion..
mwisho wa siku wanashika ukuta...
ebo inatosha kwa leo..
 
yap yap...kwa iyo hazina kijijiniii..

sasa jee? Makee cc kinadada wa kileo ukimuona muzeiya na mamvi+ kipara anakula gambe counter, pahali tena ya vip !mmmh unamlia timming HIHIHIIII MAANA UNAJUA LABDA KALAMBA ZILE ZA EA KUMBE!LOL,

WARUDI BUSH BANA
 
umenikumbusha walivyojaa pale salender bridge...
kwel mjini wallet...
hata ukiwa na mkongojo...
vi premature vitakukimbilia...
 
umenikumbusha walivyojaa pale salender bridge...
Kwel mjini wallet...
Hata ukiwa na mkongojo...
Vi premature vitakukimbilia...

usiombee kabisa !zee hata ukilipeleka mperampera 20 minutes linaweza ku rip! Sijui ni viagra ama ubishi tuu!
 
usiombee kabisa !zee hata ukilipeleka mperampera 20 minutes linaweza ku rip! Sijui ni viagra ama ubishi tuu!

pharmacy zinawalinda hao kinomaa...
ila wanakufa ovyo guest...
watu wakija badala ya kumfumba macho marehem...wanaanza na kutoa ule uji wa mapenzi...
na kumvua condom...
aise!
 
Back
Top Bottom