Hawa jamaa wanaattack personality badala ya hoja za Tundu lisu mwiba..............

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Ukiangalia bunge utajua kawamba wanachofanya 85%
ya wabunge wa magamba ni kushambulia utu wa lisu
badala ya hoja iliyoko mbele yao sasa angalizo nia kwamba
hawa jamaa hawajui kwamba wanatumia fedha za walipa
kodi wa Tanzania kukaa hapo dom.?wafanye kitu tulichowatuma
waache blabla
 
Ukiona hivyo ujue wameshindwa kujibu hoja zake...
 
Back
Top Bottom