Hawa ghasia; amesema uzembe na utendaji mbovu serikali hautovumilika; ataukomesha kwa watumishi seri

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
mhe,, hawa ghasia waziri wa nchi ofis ya wazir mkuu TAMISEMI; NI alipokuwa akisoma hotuba yake bungeni ,,inayohusu mapato na matumizi ofisi ya wazir mkuu katika bunge la bajet,,, AMESEMA KUWA anataka kurudisha maadili kwa watumish wa umma ,, kusimamia na kuratibu vizuri ofisi zaserikali ,, kuzuia biashara na magest karibu na ofis za serikali,,mfano mashueni hospitali n,k kulipa madai ya wafanyakazi na watumish wa umma na amesema deni limefika mwisho,, ametoa onyo kwa wazembe na watendaji wabovu serikalini kuwa wawe macho, hatowavumilia,!! na amegusia fedha za rada ,, ambazo zimepelekwa mashuleni kuongeza vitabu,, na madawati!!
 
Back
Top Bottom