Hawa Chanel Ten vipi?

Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,714
1,370
Mimi huwa ni mpenzi sana wa kipindi cha mapitio ya magazeti Chennel Ten. Leo nimeshangwazwa sana hawakusoma kurasa za mbele sa gazeti la Tanzania Daima, na badala yake wakasoma kurasa za nyuma tu. Je nao ni wana magamba kwani habari iliyochukua uzito wa juu inasema "CCM yapasuka" Wana JF nielezeni ili nianze kuepuka hii TV
 
Sidhani kama ni tatizo..isitoshe magazeti yako mtaani...kwa nini uulizie tu hilo la tanzania daima?
 
Hili nalo neno! Mmojawapo wa wamiliki wa channel 10 ni Rostitamu.
 
Kwani imeandikwa wapi Kila habari ya Tanzania Daima itangazwe kwenye Chanel Ten? Kama unapenda hizo habari si ukanunue mtaani na utakuwa umewachangia CDM
 
Zaidi ya Hamza Kasongo Hours, Channel ten on Monday, siangalii vipindi vingine. Kwanza wapo wapo tu they are disorgnised.
 
Kama ni kununua mtaani mbona mengine wanayosoma. Basi wangeacha kutusomea yote ili tuwe tunanunua mtaani.

Halafu MKIRUA jaribu siku nyingine kuangalia StarTV huwa hawachakachui habari za magazeti
 
Mimi huwa ni mpenzi sana wa kipindi cha mapitio ya magazeti Chennel Ten. Leo nimeshangwazwa sana hawakusoma kurasa za mbele sa gazeti la Tanzania Daima, na badala yake wakasoma kurasa za nyuma tu. Je nao ni wana magamba kwani habari iliyochukua uzito wa juu inasema "CCM yapasuka" Wana JF nielezeni ili nianze kuepuka hii TV
Nunua nakala yako kwa sh 500 tu usipende dezo
 
Kwani imeandikwa wapi Kila habari ya Tanzania Daima itangazwe kwenye Chanel Ten? Kama unapenda hizo habari si ukanunue mtaani na utakuwa umewachangia CDM
au anunue Uhuru, Jamba leo, Hoja, Changamoto, Tazama, Habari leo,Kiu, Ijumaa achangie CCMagamba
 
Mimi huwa ni mpenzi sana wa kipindi cha mapitio ya magazeti Chennel Ten. Leo nimeshangwazwa sana hawakusoma kurasa za mbele sa gazeti la Tanzania Daima, na badala yake wakasoma kurasa za nyuma tu. Je nao ni wana magamba kwani habari iliyochukua uzito wa juu inasema "CCM yapasuka" Wana JF nielezeni ili nianze kuepuka hii TV

Mbona hiyo ndo kawaida yao!!!! sio wao tu hata TBC wakiona front page ina hoja nzito bas hawasomi....
 
Zaidi ya Hamza Kasongo Hours, Channel ten on Monday, siangalii vipindi vingine. Kwanza wapo wapo tu they are disorgnised.
tehetehe zaidi ya hivyo ulivyovitaja nami naongeza kimoja cha thamthiliya ya daniela
 
Zaidi ya Hamza Kasongo Hours, Channel ten on Monday, siangalii vipindi vingine. Kwanza wapo wapo tu they are disorgnised.

Bado kina mvuto manake toka aondoke Jenerali sijakiangalia tena..
 
Wewe cklza radio maria 2:30 asubuhi hawasomemi vichwa vya hbr tu wanasoma hadi hbr zenyewe kwa kina uktoka hapo hauna haja ya kwenda kununua gazeti.
 
Back
Top Bottom