Ng'wanangwa JF-Expert Member Aug 28, 2010 10,827 4,172 Mar 19, 2011 #1 kuna mahema. viti. jukwaa. muziki(kama kawa). watu wa kwamnyamani mtujuze.
Arafat JF-Expert Member Nov 17, 2009 2,581 758 Mar 19, 2011 #2 Pilau hamna jingine si unajua huko ndio kwenyewe kwa Bwabwa ndizi.
AirTanzania JF-Expert Member Mar 17, 2011 1,139 1,033 Mar 19, 2011 #3 Wameamua kuburudisha watz kwa muziki baada ya kazi ngumu ya kusukuma gurudumu la maisha