nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
Hili sredi babu anashindwa kulichangia asee....Limekaa kiujanaujana wakati babu mie nshazeeka.
Ila tu Mjukuu Mtiifu..........Ni afadhali ukajua he/she belongs to someone else kuliko akakuambia yuko alone na ni wewe tu katika maisha yake halafu ghafla akakuambia "am sorry, nilikuwa nakudangaya, jamaa yangu amerudi....so its over"...............Damn! Natamani kuua mtu....
Kwenye hii thread na haya majibu ya Asprini
mbona nahisi kama naongelewa mimi???................lol,
AU ndiyo yale maneno ya
MAHITAJI YA KIMSINGI YA BINADAMU YANAFANANA ILA MIPANGILIO, MATUMIZI,MIKAKATI NA UTEKELEZAJI WAKE UNATOFAUTIANA.