Jf
katika generation au zama hizi biashara nyingi sana zinafanyika kwa njia ya mtandao na hujulikana kama online business/e-commerce
kuna shopping carts, shopping baskests, online orders na nyenzo nyingi kupitia mitandao mingi duniani,
in reality na kwa experience iliyokukuta wewe je umewahi kuwa muathirika wa online business/fraud either kwa kutapeliwa pesa, kushindwa kufikishiwa bidhaa uliyooda au kuletewa bidhaa mbovu na zisizo na viwango/fake na mengine mengi,
hii inaweza kutokea katika mitandao mingi ya biashara (business web portals) kama ebay, alibaba, business patrol, ec21, B2B , website za makampuni ya kuagiza magari ya japan na UK
mwenye ushuhuda au habari yoyote atuwekee hapa ili tuyajue makampuni haya mabaya na yenye utapeli na tuweze kuyaepuka
hii itawezesha Jf kuwa sehemu inayotoa atleast safety information au precautions kwenye online business