Have I ever posted here? Here I come...

heri wa hapa kwangu wanakula ugali bila kunung'unika, iwe mchana au usiku.

Sasa kibinti kimevaa pedo na dred kichwani kitakula ugali?
Mtoto wa kiume ana kiduku au afro kichwani ugali upite wapi?
Hahahahaaaa Kongosho hao ndo watoto na vijana wa .com
Wakila ugali watavimbiwa meeeeen.....!
 
Last edited by a moderator:
Sina hakika na nilichokiandika au la, kwa kuwa mambo yamekuwa mengi.
Haya, ngoja niweke post yangu.
Karibuni nyumbani kwetu wali umekuwa adimu, kisa bei. Sasa na Ugali nao unaelekea kubaya, kilo ya unga buku' sh. mbili, namaanisha 1200/=... Bahati mbaya ugali hauna malighafi mbadala, lazima unga uhusike.
Jumamosi njema!
ugali.jpg

Ugali huu,kipimo kiko sawa ila,kuna mawili..
1. Mgumu sanaaa.... Na
2. Una mabuja ya kutosha sana!
 
huu ugali ndi wenyewe, mgumu ndio mzuri
unashiba na kujipanga tumboni, pwani wanapika mlaini kubana matumizi ya unga.

Utakula ugali kama uji afu ukachungwe kutwa nzima? Au ukakamate jembe la kukokotwa na ng'ombe kutwa nzima??

Wala hauna mabuja ni aina ya unga unaozalishwa kwa kutwanga na kinu cha mkono au kuparaza kwenye jiwe la kusagia.

Mnanitamanishaje jamani, huu unapigwa asubuhi saa mbili kwa maharage na maziwa.

Ugali huu,kipimo kiko sawa ila,kuna mawili..
1. Mgumu sanaaa.... Na
2. Una mabuja ya kutosha sana!
 
hawawezi kula, hasa kama na wazazi mnauponda ugali hadharani wao watakulaje?

Atalilia baga za bonjour k moroco tu.

Hahahahaaaa Kongosho hao ndo watoto na vijana wa .com
Wakila ugali watavimbiwa meeeeen.....!
 
Last edited by a moderator:
ndo maana afya ipo, ugali, ugali, ugali, moja mara tatu kwa siku saba.

Bado msimu wa viazi, vinachemshwa beseni zima kwa mto mmoja wa familia ya watu 10 tu, bado mchembe lol

Msukuma kwa Ugali sijaona, nimeshuhudia ugali unasongwa alfajiri for breakfast pale shy mjini.
 
huu ugali ndi wenyewe, mgumu ndio mzuri
unashiba na kujipanga tumboni, pwani wanapika mlaini kubana matumizi ya unga.

Utakula ugali kama uji afu ukachungwe kutwa nzima? Au ukakamate jembe la kukokotwa na ng'ombe kutwa nzima??

Wala hauna mabuja ni aina ya unga unaozalishwa kwa kutwanga na kinu cha mkono au kuparaza kwenye jiwe la kusagia.

Mnanitamanishaje jamani, huu unapigwa asubuhi saa mbili kwa maharage na maziwa.

Konnie acha sanaa banaa!

Ugali gani wa kuliwa asubuhi huu...?! Huu saizi yake baada ya kazi ngumu saa nanenane mchana,jua kalii,hapo unafaa...

Ndiyo nyie mnaoandaa kama huu,na kumpa Mr ale kama futari! Atakomaje!
 
Halafu sobhuza ,sima nimewahi kula nchi jirani(kusini mwa Afrika).. Unakuwaga mweusi mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Judgement naona hii mambo ya watoto iko pote ..Sasa leo umpe mtoto mchana ugali ,usiku ugali atakuelewa huyo?

pOLE SANA FirstLady1,
Kuna haja ya kuwatafutia baba mwingine hao watoto, tena miongoni mwa mawaziri. It will be a huge sacrifice for your kid, and you'll be the best mother ever!
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom