Have a lovely and enjoyable weekend

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=w_zKo6VLDIM[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=1CQZDiko2xg[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=K0wSbmIUDQU[/ame]
 
Asante sana BAK, sikuiona hii thread mapema! nimejikuta naanzisha nyingine kuomba nyimbo za kuniburudisha kipindi hiki cha likizo. Naomba kama una nyimbo za Mark Antony na nyingine za Michael Bolton nipatie.

Shukran
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=uceANquzCuY&feature=related[/ame]

This lady is very talented. If she stays away from negative news then she has a very bright future and will be able to give stiff competition to Beyonce, Maria Carey and Rihanna

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=fAjrdeFl5pE&feature=related[/ame]
 
Asante sana BAK, sikuiona hii thread mapema! nimejikuta naanzisha nyingine kuomba nyimbo za kuniburudisha kipindi hiki cha likizo. Naomba kama una nyimbo za Mark Antony na nyingine za Michael Bolton nipatie.

Shukran

Thanks Annina, bahati mbaya kipindi cha likizo kimekwisha lakini nafasi ikiruhusu nitakuwekea nyimbo hizo ili zikuburudishe. Huyu Michael Bolton mimi simuelewi. Jamaa ni very talented lakini amepotea katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka sasa pamoja na kuwa nyimbo zake zilikuwa na soko kubwa sana hasa kwa akina mama.
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=ZSq9Lt8wCgQ&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Nl6dTuPSObY&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=b5bmDujFud8&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=STjw3zqFAXM&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=ZYP9hWSZ6q8&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=ch7txUjCmiA&feature=related[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=CnkjCm8ghI0&feature=related[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=XRXem9aQVe8&feature=related[/ame]
 
Thanks Annina, bahati mbaya kipindi cha likizo kimekwisha lakini nafasi ikiruhusu nitakuwekea nyimbo hizo ili zikuburudishe. Huyu Michael Bolton mimi simuelewi. Jamaa ni very talented lakini amepotea katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka sasa pamoja na kuwa nyimbo zake zilikuwa na soko kubwa sana hasa kwa akina mama.

BAK, asante sana kwa nyimbo za Michael Bolton na Mark Antony. Nazipenda sana ingawa ni za siku nyingi, sijui kwanini Michael Bolton kaamua kukaa pembeni, labda atakuja na vitu vizuri zaidi - tusubiri!

Asante sana,

Annina
 
_47083406_jockeys766.jpg

Furaha yenyewe isizidi hawa ma-jockeys 9 kutoka Japan
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=UvjuEsfdiT4[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=rmwIT78Rq2A[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=3u2_GQlwxbI&feature=related[/ame]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom