Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
Zaidi au mbaya zaidi ni pale hausigeli anapokutana na kijana aliebalehe wa mwenye nyumba na kumfanya poezeo lake au anapojifunzia kubandua amri ya sita. Kuna watoto wengi wamezaliwa kwa njia hii, na inapotokea issue kama hiyo mara nyingi housegeli hujikuta akitimuliwa na matha hausi.... hivyo kuishia kwenye maisha magumu na ya dhiki tele huku akiwa na kiumbe wa kijana wa matha hausi.