Hausigeli akutwa akiwanga kwa tajiri

Hivi jamani kwani si amekiri mwenyewe kuwa ni mwanga na ametumwa na bibi yake?
Na pia amethibitisha kuwa ameshafanikiwa kuua mtoto huko morogoro?
Sasa mnamtetea nini au amelazimishwa kusema hivyo?

--No Coment Suzzie
kabinti kadogo hivyo kanakuwa kashirikina ??
 
front20pix.jpg

kwa mwonekano huo pichani, maadili ya roho hayakwemo

Ana kapaja naona anajikuna kidogo
 
Eeeh Mungu tunusuru,maana inatisha,yani kaua innocent mtoto!y?yani wenzie wamehangaika kupata yy anauisrael?God protect my little serengeti.
 
jamani jamani!! Nisaidieni. Hivi ni kweli uchawi un exist???? mimi siamini hata Chembe.
1. kama kweli mchwi anaweza kwenda against the laws of reality kama vile kusafiri na ungo. kumroga mtu, n.k. Mbona asifanye maneuver akaingia kwenye mabenki au taasisi nyingine za pesa na kuchota mahela bila kuonekana? yaani mi nawaambia uchawi ni usanii mtupu.

Nawashangaa sana mnao amini uchawi! When will this stupidity End!!

Just the other day kipindi cha uchaguzi Kenya nilisikia shekhe yahya anasema kama m2 anataka kushinda uchaguzi wa Urais kuna kifimbo fulani anaweza kumuuzuia ashinde.
Swali: kama wagombea wote wangenunua hicho kifimbo wote wangekua maraisi?
 
Ni kwa nini wachawi wanawatumia sana watoto kwenye uchawi?

Ni mbinu gani hasa za kichawi zinatumika kwa mawasiliano kati ya mtumishi wako wa ndani na wachawi?

Je unaweza kukata na kubomoa hayo mawasiliano ya kichawi?

Ni kwa nini wasichana ndio hasa wanaopendwa kwenye kazi hizi za kuwanga?

Je ni kwanini ni mabweni wanayolala wasichana ndiyo hasa yanaungua moto?

Je hawa wasichana ni kweli wamekufa au wanachukuliwa misukule?

Je kama ndani ya mabweni walikuwepo, wasichana waliookoka moto uliweza kuwaka?
 
Hivi jamani kwani si amekiri mwenyewe kuwa ni mwanga na ametumwa na bibi yake?
Na pia amethibitisha kuwa ameshafanikiwa kuua mtoto huko morogoro?
Sasa mnamtetea nini au amelazimishwa kusema hivyo?

Sue,
HATA MIMI HAPO NDO NIMECHOKA KABISAAAAAA! KAKIRI MWENYEWE..WATU WANAANZISHA TOPIC OHH mahausigel wanaonewa, wananyimwa mshahara na waajiri! Mbona hii topic tofauti?

Ndugu yangu BAK na wengineo, Suala hapa ni vitendo vya kihuni na vya kijinga vya hawa watu vinazungumziwa.Haina maana ati kwa vile kuna wanaonyanyaswa basi maovu yao mengine yasizungumziwe na watu wasijue kinachoendelea.

Suala la imani hizi za kijinga za kishirikina hufanywa na baadhi ya hawa watu ..si Tanzania tu bali hata sehemu nyingine duniani. Nadhani mwaka jana kuna tukio liliripotiwa kwenye vyombo vya habari ambapo hausegeli huko asia sikumbuki ni nchi gani alimpikia mwajiri wake chakula akachanganya na menstrual blood kwa imani ati asifukuzwe kazi na boss ampende! Issue hapa siyo kuamini..bali ni utovu wa adabu wa hawa watu na imani chafu za kishirikina!

Ndugu yangu Mbu..nakuelewa sana na hata mimi sifagilii imani hizi..ila nashindwa kuelewa iweje tuogope kukemea vitendo hivi kwa vile tutaonekana washirikina?
 
--No Coment Suzzie
kabinti kadogo hivyo kanakuwa kashirikina ??
Umekasahau kaKijana Rama Mla vichwa vya watu ambaye hadi sasa anasota Keko KWA KESI YA KULA KICHWA CHA MTOTO MDOGO YEYE NA MAMA YAKE?
Watanzania nadhani tuna tatizo ukiona kasi ya vitendo vya ushirikina! Mara albino killings, mara kuchuna ngozi, mara huyu binti na tajiri zake!
 
front20pix.jpg



Mfanyakazi ya ndani anayedaiwa kuwanga akiwa katika kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungu (UBT) tayari kusafirishwa kurejeshwa kwao Morogoro baada ya tuhuma hizo za kuwangaAbambwa na ndumba kibao na ungo
  • Asimulia mambo ya kutisha
  • Maombi yasaidia kumnasa
.
Asante kwa habari hii mkuu Bujibuji,
Elezea kidogo kuhusu maombi yalivyosaidia.
 
Back
Top Bottom