Hausgel wa jirani yangu...

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,053
Hii imetokea mchana wa leo.
Jirani yangu ana mtoto wa miezi minne ambaye huachwa na yaya.
Yaya ana tabia ya kumuacha mtoto na kwenda kurusha roho na mume wa jirani yetu, nyumba ya nne toka nyumba tunayoishi.
Mume huyo wa jirani yetu ni mlinzi wa makampuni binafsi, mara nyingi mchana hushinda nyumbani.
Leo binti akiwa amemuacha mtoto peke yake, akaenda kutusuliwa. Mungu mkubwa, mke wa jirani kawafumania red handed.
Na kwa jinsi ambavyo haus gel alivyo kuwa na mkosi, tajiri yake karudi ghafla kakuta mtoto yuko peke yake, kajichafua na analia sana.
Alipouliza mpangaji wa chumba cha pili akasema hajui aliko enda, maana kaondoka bila kuaga.
Muda si muda kundi la watu likavamia nyumbani huku binti na mume wa mwizi wakiwa uchi wa mnyama.
Jamani tuwe tunachoropoka japo kidogo kwenda kuangalia familia zetu.
 
yani unachosema ni sahii kabisaaaaaaa,maana hawa wasichana hawaaaaaaaaaaaa!Mungu atupiganie tu jamani,si bora kamkuta na jirani waweza kuta na mumeo kabisaaaaaa,simo mie lol

mh jamani hivi haya yataisha lini? wakati mwingine hawa watoto tunaoacha na yaya mmmmh mungu anajua wanavosavaivu manake wanafanyiwa mengi.na huu mwezi mtukufu jamani watu kweupeee wanado tena mh chichemi mie...
 
Huyo mama wa mtoto ana bahati sana. Kwa sasa anauguza kidonda kimoja tu cha mtoto wake kuchakachuliwa na huyo bazazi beki 3. Ila kwa kawaida sasa hivi angekuwa anatafakari mstabali wa maisha yake; kwani hiyo kazi huwa inafanywa na baba mwenye nyumba. Kwa hiyo baba mwenye nyumba anatakiwa kumlipa huyo mwanamume kwa sababu amefanyakazi vizuri ya kumsaidia na kaubeba mzigo wake. Hii biashara ya ngono ingekuwa inafilisika (run bankruptcy) watu wangeishi kwa amani.:confused2::confused2:
 
muwe munaajiri h/boi na h/geri ili wasitoke nje, wamaliziane shida zao hapohapo home.:A S 8:
 
muwe munaajiri h/boi na h/geri ili wasitoke nje, wamaliziane shida zao hapohapo home.:A S 8:
mmmmh.watamfundisha mtoto mchezo mbaya.Kwa nini usimpeleke mwanao kwenye day care centres?akashinde huko?
 
Mshahara wa hausi gel peke yake unatoka kwa mbinde, ukiongeza na hausi boy si ni mauaji ya kimbari hayo
muwe munaajiri h/boi na h/geri ili wasitoke nje, wamaliziane shida zao hapohapo home.:a s 8:
 
sasa utampeleka mtoto wa miezi minne?

Mkuu kwa wenzetu ziko kuanzia mwezi mmoja mtoto unapeleka. Ingesaidia kwa kiasi kikubwa unabeba mtoto ukielekea kazini unamuacha day car, ukiwa unarudi nyumbani unampitia.
 
yani unachosema ni sahii kabisaaaaaaa,maana hawa wasichana hawaaaaaaaaaaaa!Mungu atupiganie tu jamani,si bora kamkuta na jirani waweza kuta na mumeo kabisaaaaaa,simo mie lol

Walai walai yashakupata wewe... mbona umekuwa hivyo ghafla? Nikupe ujanja? Chagua lisichana lenye sura kaa hippo.... hakuna atakayelisogela.. hata huyo mumeo!
 
aviation-humor-cartoon2.jpg
Ona kwenye hii picha wenzako wanavyofanya
 
Kuna rafiki yangu alirudi saa moja usiku, alipongonga na mlango haukufunguliwa, akachungulia na kukuta sufuria imeyeyuka kwenye jiko la umeme na umeme umekatika kwa ajili ya short circuit, watoto wawili 4 na 2 wamesinzia kwenye sakafu ya jikoni, dada hayupo!!
alivunja mlango mwenyewe!! bila msaada, hadi leo hajui ulifunguka vipi!!
anyway, msichana aliolewa miezi miwili na yule kaka mpiga picha, akapata mimba na kufukuzwa. Tangu siku hio watoto walianzishwa day care!!!
 
Hivi hapa kosa kubwa la huyu HG nini ? Naona ma HG wanaonewa sana. watu wanaangalia upande mmoja wa shili. Kosa naloona mimi ni ni kuacha watoto. ila watu wengi wanamuhukumu kwa kuwa na mahusiano na huyo mume wa jirani.Hilo Kosa ni la mwanaume.
Je huyo mume wa jirani ni kichaaa. Nani mwenye uelewa, mkubwa, mwenye kipato kikubwa na mwenye akili nyingi kati ya HG na huyo mume wa jirani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom