Hatuwezi kupata rais kama JK

mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania

wewe acha uchizi, hatuna rais kwa sasa,huyo jk ni rais kivuli,wapo watu wanamcontrol,watamwambia sasa sema,au sasa kaa kimya.atakaa kimya mahali sipo,wagonjwa wanakufa rais kimya na kuchelewa kutoa maamuzi haraka pamoja na kuwa na madaraka mengi.
Miaka yake iliyobaki ni maumivu kwa taifa lote,hii miwili hadi sasa wananchi tunateseka hakuna mfano.
 
I think you are saying this just to provoke members on the frum. otherwise i fail to understand what is the motive behind your statement!
 
I think you are saying this just to provoke members on the forum. otherwise i fail to understand what is the motive behind your statement!
 
Watu wana ID nyingi kweli, ikifungiwa moja wanaingia na nyingine "wanchekesha"
 
kuna machizi wamevamia JF,narudi zangu TWITER.......kama huu ****** hautaisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! yaani watu wana post VINYESI VINYESI.......au huo ndiyo uwezo wako wakufikiria???????????????????????????????????///
 
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
Upo serious au unatania...unaweza ukawa unatania. Kama ni mvua uongozi wa huyu ni Sunami na ni janga la taifa. Madhara yote yananaonekana...sihitaji kuorodhesha.Huyu hata kuwa mwenyekiti wa mtaa hakufaa...
l
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom