Hatuwashitaki ng'o -issue ya Rada hata mlie

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Haya kama kawaida yetu Tz
Tunawaambia nyie UK,kuwa hatuna nia ya kuwashitaki hawa jamaa waliopiga pesa ya rada hapa Tz,mpaka nyie mtuonyeshe mliowashitaki huko kwenu UK
Acheni watu wetu wabalizi na pesa kiduchu ya rada ebooooo


hahahahaha,Tanzania zaidi uijuavyo bana
 
sio maneno yangu jamani ni maneno ya Waziri husika,mie simoooooooo
 
tukishitaki tukishindwa hizo sent hazitoshi kulipa fidia.
zile za epa zilifisadiwa sembuse hizo za wazungu?
 
Back
Top Bottom