Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
We nawe unaomgea utumbo gani tena.shit!
We nawe unaomgea utumbo gani tena.shit!
Nafkiri wanataka na wenzao waachike kama wao walioshidwa kuzitunza ndoa zao, wanakuwa na viburi hata sehemu zisizohitaji viburi.Ananilea Nkya akiwasikia,anawamaliza ninyi,hamjui kuwa jana ndo katunukiwa tuzo ya harakati za jinsia?
Hayo hapo juu, tuachane nayo,jambo ambalo huwa najiuliza ni mwanamke wa aina gani ambaye harakati hizi zinalenga kumkomboa.Agenda imekuwa ni kwa mwanamke kunyanyaswa na mumewe.Lakini ukichunguza kwa undani asilimia karibu 99% ya wanaharakati wanawake,wote hawako kwenye ndoa.Wengi wameachika na wengine hawajaolewa kabisa.

Alieleta hoja amechanganyikiwa.. Bible inahusika vipi na human rights..lol 21st Century hakuna mambo yenu ya Old Testament hapa. Kinachotakiwa ni equal opportunities kwa wote wenye uwezo basi. Hivyo vitu vya wachunga mbuzi zamani havina nafasi.
hapo kwenye red unataka kutuambia kuwa tamaduni zilizokuwa zinapendelea mambo mabali mbali na kutokuwa na usawa walikuwa hawapendani? yani ndani ya nyumba? the problem is, we are forgeting that we Africans live a communal life, sisi sio baba na mama na watoto basi.......hapo ndo wanaharakati wanapojisahau.....USAWA is being advocated to families and not the the community.
Kwa mfano, kuna makabila ambayo, mnyama lazima achinjwe na wanaume, wanawake hawachinji mbuzi au ng'ombe, lakini pia, wanakula nyama zaidi ya wanawake. women never complained about that, they were getting their share. same to milk, women would handle milk and get the lions share out of it, men never complained.
Kuna makabila amabyo kuku akichinjwa, mapaja ni ya baba, full stop. no body complained then. LAKINI sasa hilo linaonekana ni uonevu, kila mtu anahaki ya kula paja, bab anatakiwa aache watoto wale kwanza. the same person ambaye alikulia kwenye mazingira ya baba kwanza leo hii anajifanya kwamba hilo sio jambo jema. Watoto walipendwa na watu wote, na walijisikia kupendwa. watoto walikuwa wanacheza na kula kwa majirani zao bila tatizo lolote. sasa hivi watu wanajisikia wamekuwa westernized sana, kama vile wapo londan. aaggreeeee
Ananilea Nkya akiwasikia,anawamaliza ninyi,hamjui kuwa jana ndo katunukiwa tuzo ya harakati za jinsia?
Hayo hapo juu, tuachane nayo,jambo ambalo huwa najiuliza ni mwanamke wa aina gani ambaye harakati hizi zinalenga kumkomboa.Agenda imekuwa ni kwa mwanamke kunyanyaswa na mumewe.Lakini ukichunguza kwa undani asilimia karibu 99% ya wanaharakati wanawake,wote hawako kwenye ndoa.Wengi wameachika na wengine hawajaolewa kabisa.
Tatizo ni elimu ndogo. Nasoma utumbo uliogubikwa mfumodume hapo juu nataka kutapika.
Don't get me wrong, I think there is a brand of almost militant fminism that is juvenile if not repugnant, but this medieval business of saying god created man in dominion over women is ridiculous, and there ought to be law against teaching that so called "biblical" principle.
Hizi habari za wanaume kutaka ukubwa over their women zinaonyesha inferior complex tu.Mwanamme anayejiamini hana shaka na uwezo wake, na atam encourage mke wake wafanye kazi pamoja na kupendana kama marafiki na watu sawa wenye nyenzo tofauti.
Hizi habari za mwanamme yuko juu ya mwanamke ziko so medieval.
mi mwenyewe toka nakua filigisi kuku akichijwa ni ya baba na mama sijawahi ona akilalamika kwa hilo, sasa hawa wanaotaka mama alalamike kwa nini filigisi anakula baba peke yake wana maana gani? jamii yoyote ina utaratibu wake kama hao wanaojiita wanaharakati wa kuwatetea wanawake wanaona mazingira ya tanzania yanamwonea mwanamke basi wawachukue na wawapeleke huko ambako wameona kuna usawa, ujerumani yenyewe pamoja na maemdeleo makubwa iliyonayo bado mwanamke analipwa malipo madogo kuliko mwanaume,ili tuwe na mahusiano mazuri lazima mtawala awepo na jamii yetu ilimchagua awe ni baba,sasa nyie wanaharakati mnataka nini hasa? nafahamu mnapiga kelele ili mpewe vijihera na mabosi wenu wa magharibi ili mharibu utamaduni wenu ambao umetuwezesha kufika hapa tulipo, kwa taarifa yenu tutawapinga milele.