Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Ukizungumzia PM kwangu inanigusa mpaka nilipata warning
kuwa inbox imejaa wakati ule nilivyoanzisha thread ya infii.
Lakini ni wewe mwenyewe unahitaji akili mkichwa.
Kama wamekutana wametumiana PM wamalizane huko huko
mie ha ha kama ni wahanga wa PM basi nami mmojawapo
mpaka nikaanza kudelete bila hata kusoma.
AKILI MKICHWA

i see jambo limezua mambo
 
Unajua sijui wanaangalia nini,coz kabisa anasema nimeoa but but but but.....................
Bora utongozwe na watu wasio na ndoa but mtu ameoa,do we look or sound like home-breaker's?????
Hell No!GOD FORBID!!

Umesomeka mama,subiri tu PM ya Paka Mweusi sasa.......
 
Si lazima muwe mmealikana wala kukutana,personally nimepata PM za hao watu,na sijawahi kukutana na hata member mmoja wa JF,wanasema wenyewe through PM's mi nimeoa blah blah blah,hatuko hapa kuiba waume za watu....na hapa halalamiki mtu,kinachosemwa ni si tabia nzuri,iachwe!!!PERIOD.

Halafu hiyo mibaba inayomtongoza ni ya JF peke yake tuuuu???
 
mmh nimesoma nimeguna tu
Kumbe mambo ndo yalivyo
Sihitaji wala sipendi kuonana na JF member ili tufahamiane
Sijawahi kuhisi hili
Kuna mitego zaidi ya kutongozana
 
Mambo mengine hayana sababu ya kuyaanzishia sredi.

MM nikiwa jf, ofisini, mtaani, kijiweni ama mahali pengine popote ninakuwa ni yule yule. Binafsi sishangai kwa mwanamke kutongozwa.
Halafu kujaribu kujenga taswira kwamba members wa jf ni binadamu wa tofauti ni kujaribu kujidanganya sisi wenyewe. Sisi ni miongoni mwa jamii ya kitanzania kama walivyo wengine, humu humu kuna mafataki, mafisadi, wafia dini, waungwana, macheki bobu na kila aina ya watu kama tulivyo huko mitaani na kwingineko. Muhimu hapo ni kuangalia kama mistari yake haina vina unampotezea na maisha yanaendelea, kwakuwa kama kuna ambaye alikuimbisha ukamkubali na hukuja kutushirikisha furaha yako hapa, basi huyo naye mpe za uso hata kama ni mbishi!! watu wanatongoza mwaka mzima bila kuchoka, usifanye mchezo.

Hii kitu inavyoelekea itasababisha watu waogope kukutana face 2 face wakiogopa kutongozwa!!:smile-big:

Mie siogopi ukinitongoza nakuchomolea kwa mbali tunaendelea kunywa Tusker moto
 
Ukizungumzia PM kwangu inanigusa mpaka nilipata warning
kuwa inbox imejaa wakati ule nilivyoanzisha thread ya infii.
Lakini ni wewe mwenyewe unahitaji akili mkichwa.
Kama wamekutana wametumiana PM wamalizane huko huko
mie ha ha kama ni wahanga wa PM basi nami mmojawapo
mpaka nikaanza kudelete bila hata kusoma.
AKILI MKICHWA

Kila mtu ana approach yake ya ku-deal na jambo si lazima wote tu-delete bila kusoma naweza delete msg muhimu............
Approach yangu ni hii,kuweka tu clear, am not a home-breaker and i do not want my inbox full of messages requesting me to be a concubine.
I would love to make friends not to be someones concubine!!!!
 
Siku hizi majibaba yana2mia hesabu hii hapa!!!

Mke wa Mtu/Mume wa Mtu: Jibu lake ni MKE an MUME!!!

Unajua sijui wanaangalia nini,coz kabisa anasema nimeoa but but but but.....................
Bora utongozwe na watu wasio na ndoa but mtu ameoa,do we look or sound like home-breaker's?????
Hell No!GOD FORBID!!
 
Kila mtu ana approach yake ya ku-deal na jambo si lazima wote tu-delete bila kusoma naweza delete msg muhimu............
Approach yangu ni hii,kuweka tu clear, am not a home-breaker and i do not want my inbox full of messages requesting me to be a concubine.
I would love to make friends not to be someones concubine!!!!

Kudelete bila kusoma zinachosha unasoma heading tu unachoka uanona ya nini??? Za muhimu unazijua.

Kama hutaki si umkatalie huko alikokutongozea kwani ilikuwa hapa???
 
huyu hakumpenda ndo maana anataka kumchana live humu ingekuwa kinyuma ungesikia uko wapi n pm KIBAO acha utoto
 
I real dnt think wat u wroote is real wat u meant!Girls,ladies,woman,lets try to respect ourselves,tuongee vitu vya kujenga na kutufunza na kufunza familia zetu na wenzetu,kiukweli mada hii kwangu ni ya kuaibisha mno,haijengi maana kwa kuongelea hapa kwamba wababa wanakufataki and ww ni storong lady I real dnt :confused2::confused2::confused2:,tunajishushia heshima wenyewe na kujidharau kwakweli,kuna wengine kupitia hapa wamepata wake/waume,ndugu jamaa na marafiki,sina maana mby kusema hivi but as a lady nadhani ulipaswa kuongea na muhusika and if u cnt ungetafuta mtu wa karibu basi kuliko wat u did ol in ol frm me ni :peace::peace::peace::peace::peace:JIHESHIM UTAHESHIMIWA!
kidogo kidogo hadi huko ni padogo, haina taste!
 
Halafu hiyo mibaba inayomtongoza ni ya JF peke yake tuuuu???

Unajua Dena,wale wa ofisini atawaambia huko ofisini,wale wa JF awaambie hapa hapa.....
Kutongozwa si ishu,najua hadi uzee tutatongozwa,but kila mtu ana objectives zake za kuwa mahali, JF ni sehemu ya ku-share mawazo na kwa namna moja au nyingine si vibaya ukitengeneza marafiki......najua tuko watu wa aina tofauti hapa,lakini kuwa tofauti haitufanyi tu -tolerate kila kitu.......kuna vitu vina haribu mood ya kuwa hapa,kama hilo la mtu kaoa anaku-PM,na usifikiri ukimkataa anakuacha,wanaendelea tu........:crying:
 
I real dnt think wat u wroote is real wat u meant!Girls,ladies,woman,lets try to respect ourselves,tuongee vitu vya kujenga na kutufunza na kufunza familia zetu na wenzetu,kiukweli mada hii kwangu ni ya kuaibisha mno,haijengi maana kwa kuongelea hapa kwamba wababa wanakufataki and ww ni storong lady I real dnt :confused2::confused2::confused2:,tunajishushia heshima wenyewe na kujidharau kwakweli,kuna wengine kupitia hapa wamepata wake/waume,ndugu jamaa na marafiki,sina maana mby kusema hivi but as a lady nadhani ulipasya kuongea na muhusika and if u cnt ungetafuta mtu wa karibu basi kuliko wat u did ol in ol frm me ni :peace::peace::peace::peace::peace:

Dahh nilikuwa naendelea umenimalizia maneno. Big up!!! Im Out
 
Back
Top Bottom