Hatutajani majina pub

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Nimesikia eti huko Tanga kuna pub moja maarufu kwa kuuza kitimoto inaitwa hatutajani majina pub na hii ndo slogan ya wateja wake wote.Kwa wale ndugu zetu wa huko tanga,hizi habari ni za kweli?na kama ni kweli kwa nini hiyo pub ijiite hivyo?
 
mmmmmh! ni haramu but inasafisha nyota. n way me naifahamu nyingine ipo karibu na airport majani mapana, kuna wapemba
huwa wanakuja kuwapiga shoka hao viumbe na kuwasafirisha kwa boat mpaka pemba. cjui wanafanya nao nini? kwani ni haramu.
hiyo nyingine wanatumia pacwed
 
Back
Top Bottom