ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Tushirikishanie hii kama hatukuwahi kuisoma, ni habari toka kwa mwanajamii mwenzetu:
Kazi tunayo kizazi hiki, Kuna hii nayo ilipatikana kanisani, pale mchungajai aliyealikwa kutulisha neno alipoamua kutushirikisha matatizo yanayowapata kondoo wa bwana. kuna siku alipigiwa simu na wazazi fulani aende nyumbani kwao akamuombee binti yao mdogo mtoto wa darasa la nne, kisa cha kuitwa ni kuwa yule mtoto anasoma hizi shule za academia,siku moja asubuhi wakati anawahi basi la shule alisahau kuzima fan (pangaboi la juu) chumbani kwake, kupitia kioo cha juu ya mrango wazazi wakaona pangaboi linazunguka baba akaamua aingie chumbani kwa binti akazime ghafla akakutana na vidonge juu ya meza ya kusomea....akamuita mama akamuuliza ni vya nn?lahaula vilikua ni vidonge vya majira ya uzazi, wazazi wakahamaki sana wakajiuliza maswali mengi, wakakubaliana wamsubiri binti akirudi jioni wamuulize. Binti aliporudi akabanwa na wazazi, mwanzo alitaka kugoma, wakamtishatisha akakubali kuwa amepewa na Mlinzi wa getini hapo nyumbani, mazingira wanayoishi ni katika estate ina nyumba kama kumi na tano, so the whole compound imezungushiwa ukuta na ina geti moja kubwa la kuingilia.Mtoto akaanza kueleza kuwa mchezo huo aliuanza miaka miwili iliyopita na fundi mwashi aliyekuwa anajenga hapo estate ndo alianza kumfundisha Ngono, thena aakafuata Mlinzi, mlinzi aliponogewa akamwambia mwenzie, huyu wa plili akamtishia mtoto kuwa asipompa na yeye atamsemea kwa baba yake, mtoto akampa, akaja wa tatu, huyu ndo akamfundisha na kutumia vidonge, sasa akawa mtaalam. Mchungaji alipoitwa akasema kabla sijamuombea naomba mnipe mda nikae nae mm na yeye tu nimfanyie counselling, hapo ndipo yalipofumuka memgi makubwa, yule mtoto akakiri mbele ya baba mchungaji kuwa ameshazoea sana mchezo wa ngono hata hapo kwenye estate wanapoishi ameshatembea na wababa wanne, huwa anaaga anaenda saloon wkend akifika nje hao wababa wanampakia kwenye magari yao wanampeleka huko wanapopajua kumfanyia uharibifu, akaendelea ku-narate kuwa hata dereva na konda wa school bus tayari ameshafanya nao, shuleni amefanya na walimu wawili na Mwalimu mkuu pia. Mchungaji hakuwaeleza wazazi extent ya uharibifu aliyofanyiwa mtoto wao, aliwaita wote akawaombea, next akaenda kwenye hiyo shule kupambana na mwl mkuu, ushauri wa mwisho aliwapa wazazi ni kumwamisha binti shule, pamoja na kuendelea na maombi kwa binti huyo..........................story hii iliwatoa machozi watu kanisani. Kikubwa kinachojitokeaza hapa ni hii style ya maisha ya sasa, wazazi tupo too busy na kazi,kutafuta hela kiasi hatupati kuwa karibu na watoto wetu, sasa upweke wanaoupata watoto ndo wanatumbukia kwenye mambo ya ajabu kama haya. ---------------- Kisa kingine hiki: Wazazi wa familia ya watoto watatu wakike wawili na kiume mmoja. Baba ba Mama ni wasomi na wanafanya kazi nzuri na zenye kipato..safari za ndani na nje ya nchi haziwaishi, fedha nyumbani si tatizo. Wazazi waliajiri mtumishi wa ndani ambae kwao alionekana ni binti makini angeweza kusaidia vizuri watoto., hawakutaka kukaa na ndugu yeyeote kwa hofu kuwa watoto wao wataharibika ..waliajiri pia mtunza bustani wa kiume...na dereva wa kuwahudumia watoto..Wazazi hawakuwa na muda wa kujua watoto wanaishije kwenye maisha ya kawaida ya watoto wao, walichokuwa wakifanya ni kuwapa kila kitu walichohitaji kila siku na kuuliza wanaendeleje tu bila kufuatilia maisha yao upande wa pili kwenye jamii. Siku moja wakati mama alipokuwa akirejea toka safari majira ya saa nne asubuhi,akiwa getini alisikia mtu akilia kwa sauti ndani, akakimbia kuingia, alipofika varandani, akasikia kelele zikitokea chumbani kwa wanae wakike, alipoingia alikuta mtoto wake mmoja wa kike akiwa ana galagala chini sakafuni, na pembeni kuna glasi ya maji na vidonge..mwingine alikuwa amekaa kitandani huku akiangua kilio, Msichana wa kazi za ndani alikuwa ameshika fagio na ndoo ya kupigia deki anasafisha matapishi ya yule binti..mama alipoingia wote walishtuka, asijue la kufanya akauliza kulikoni, Msichana wa kazi akaeleza kuwa yule binti alikuwa anaumwa,walimpa vidonge..mama akauliza tokea lini, mwenzie akajibu..usiku, "lakini" ...mama akauliza "lakini nini" ?? akajibiwa hakulala nyumbani, alikuja na wenzake, wakamwacha getini, mlinzi ndie alimleta anamsukumiza chumbani kisha akafunga mlango, alikuwa kama amelewa chakali...Mama hakutaka kufuatilia kwa kipindi kile, haraka akamchukua binti na kumpeleka hospitali ya karibu..hali yake ilikuwa mbaya sana, hakuweza kuaongea, povu likimtoka mdomoni. Baada ya kupatiwa vipimo hospitali, Daktari alimweleza mama kuwa mwanae ametumia pombe kali sana na ametumia pia madawa ya kulevywa hivyo angepaswa kulazwa kwa matazamio, akawekewa maji (drip) ..hata hivyo, jioni ya siku hiyo hali ya binti ilibadilika na haikupita muda mrefu akwa amefariki. Badaa ya tukio hilo, wazazi ilibidi wafunguke na kuanza kuwahoji watoto wao na wafanyakazi hapo nyumbani ndipo walipobaini kuwa maisha ya watoto hapo nyumbani ni zaidi ya watu wazima wanaoishi ghetto...watoto walikuwa hawaendi shule, wakipewa hela wanampa dereva na mlinzi ili awafichie, siri, yule wa kiume alikuwa mlevi kupindukia na mtumiaji mzuri wa "Poda"; watoto wakike alikwishakuwa wahuni wa kutisha (Machangudoa), walikuwa wakishinda kwenye makumbi ya starehe na wanawajua wanaume wote maarufu mjini...maisha hayo kwa kiasi kikubwa yalichangiwa na Binti wa Kazi alieajiriwa na Wazazi wao ambae wazazi hawakuwahi kuchunguza asili yake (background)... Wazazi walizidi kuchanganyikiwa baada ya kupekua vyumba walivyokuwa wakilala, wakakuta mavazi ambayo kwa mtizamo wa kawaida yaliashiria maisha ya watoto wao..taarifa za shuleni pia ziliwashtua..hawakuwepo shule zaidi ya miezi sita.. Hali hii ilipelekea wazazi kuanza kurushina lawama, Baba akimlaumu mama, Mama kwa kuona hana jinsi akaanza maisha ya kushinda makanisani kutafuta maombezi...Baba akadhani ni vyema suala hili alifikishe kwa mshauri nasaha ili awarekebishe watoto wale wawili waliobakia baada ya kuwatimua wafanyakazi wote pale ndani, ....hata hivyo, haikupita siku walipokea taarifa kuwa kijana wao wa kiume amevamiwa na wenzake , wamembaka na kumua kwa kuzamisha mtoni... kisa cha haya yote haiukueleweka... TUJIULIZE TUNATAFUTA HELA/PESA/FEDHA KWA AJILI YA NANI KAMA SIO KUSAIDIA FAMILIA ZETU ZIISHI VIZURI KWA MAADILI MEMA?? |