FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
hatudanganyikiNguvu ya wanaume haishi sembuse Afrika,ila ni kweli wanakuja kwa kasi sijui tutumie staili ya kudanganya??!

Licha ya kuonyesha kuwa mnawahitaji wanaume lakini bado mm sijaridhika naona wengi wenu mmepelekea kule kwenye maswala ya bedroom. Hivi ni kweli mwanamke akikaa muda mrefu bila kupata mwanaume anakuwa na tabia za tofauti tofauti?

muda mrefu ndo muda gani, kuna wengine mwezi kwao ni mrefu sasa cjui wewe unazungumzia urefu upi.
lakini wewe Fidel80 mnajua wanaume pia zamani mlikuwa mnatunyanyasa sana wanawake
Kuna shule moja ya wasichana iliwahi kuwatokea haka kaugonjwa, tiba yake iliandaliwa disko na shule ya wavulana wakapelekwa huko. walivyorudi hawakuwa na hako ka ugonjwa!Kuchekacheka hovyo, kulialia, kugaragra! Ukimpa mtinange tu kapona hahaha
Kuchekacheka hovyo, kulialia, kugaragra! Ukimpa mtinange tu kapona hahaha
Tunahitajika kupita kiasi. Kumbe huwa hamsikilizi nyimbo za taarab nyie eh?
Proof tafwadhali inahitajika...............