Hatuhitajiki

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Imefikia kipindi sasa wanaume tumekuwa hatuhitajiki na wanawake kama zamani.

Sasa hivi wanawake wengi wanajifanyia mambo yao wenyewe kama kulipia karo/ada za watoto, wanajingea nyumba, wananunua magari ya kifahari na wanatembelea magari ya kifahari.

Kikubwa hata kwenye swala zima la mapenzi nako wamekuwa wanajiamlia afanye na nani na asifanye na nani au anaamua kuacha tu kwa vile hana stimu.

Wasi wasi wangu ni kuwa itafika kipindi wanawake watakuwa hawataki kuolewa na kutufanya wanaume tusihijike zaidi kama sasa wanaweza wakapandikizwa kibailojia na wakazaa watoto basi siku zetu wanaume zinahesabika eidha karne zijazo kukawa hakuna kiumbe mwanaume au kukawa na uhaba wa wanaume maana ukiangalia sasa hivi idadi ya wanaume na wanawake inatofautiana wanawake wapo wengi zaidi ndo maana wkt mwingine inatulazimu kuwa na mashori 10 wote unawamiliki.
 
...ndo maana wkt mwingine inatulazimu kuwa na mashori 10 wote unawamiliki.
Sasa mkuu kama hapo kwenye nyekundu inawezekana sasa woga wa nn? kama sasa ni kumi miaka ijao itakua mara mbili....usiogope wote wawili tunategemeana!!
 
usemayo ni kweli Fidel80 lakini hilo swala la kuwa na mashori kumi mbona ni hatari ?
na pia nyie wanaume mtaendelea kuhitajika siku zote ,kama tuspowahitaji nani atatutimizia mahitaji yetu ya mwili??
Au unamaanisha tutanunua matoy ??
 
Dah wanawake kila siku wanabadilika wengine wanajimudu wao kwa wao wengine matoy wasio na uwezo wanatumia ndizi na wengine karoti wengine wanapendelea Tango yote wanadai ni kujinafasi.
 
Wewe Fidel80 wewe haitakaa itokee wanawake wawakinai wanaume hata siku moja. Kwenye hayo mengine ya ada/umeme/magari ya kifahari/kujenga nyumba zao pouwa haina shida kwa upande wa wanaume kwani ni sehemu ya utawala shirikishi na ndio maana ya kupewa elimu sawa sawia. Ila unaporudi kwenye suala la kukosa wife au mchumba au whatever hata wakipandikizwa mbegu kibaolojia bado kuhitaji natural raha inabaki pale pale wataenda watarudi na kukaa kwenye mstari tu. Wanaume tusiwe na shaka na hii worry ya mpwa Fidel80 hata kidogo
 
Dah wanawake kila siku wanabadilika wengine wanajimudu wao kwa wao wengine matoy wasio na uwezo wanatumia ndizi na wengine karoti wengine wanapendelea Tango yote wanadai ni kujinafasi.

hahahah Fidel80 hebu acha maskhara tango ndizi sijui karoti kwani wanaume wameisha ;)
 
hahahah Fidel80 hebu acha maskhara tango ndizi sijui karoti kwani wanaume wameisha ;)

Hehehehe akija MJ1 hapa naamini ataniunga mkono wapo watu wengi wanaamini penzi binafsi ndo suluhisho rasmi katika migogoro ya kinyumba ndani ya familia sasa unakuta mwanamke hajapewa haki yake miezi 6 akipata penzi binafsi kwa tango na kukidhi haja zake kuna ubaya?
 
Dah wanawake kila siku wanabadilika wengine wanajimudu wao kwa wao wengine matoy wasio na uwezo wanatumia ndizi na wengine karoti wengine wanapendelea Tango yote wanadai ni kujinafasi.

Hahaha! Mpwa, hiyo red hiyo! Labda hilo tango lisiwe la Tegeta lililokuzwa na samadi ya kuku wa kienyeji.
 
Tutahitajika 4rever!
Kuna differences nyiiiingi sana kati ya men na toys.., ambapo men ni more advantageous!
 
Wanawake wamenyanyasika sana na mfumo dume wacha nao waenjoy no king rules forever, ila wakishika hatamu tumekwisha
 
Wanawake wamenyanyasika sana na mfumo dume wacha nao waenjoy no king rules forever, ila wakishika hatamu tumekwisha

Hahahaha mpwa na sisi tutabuni njia yetu ya kuenjoy kwa kutumia kanuni ya penzi binafsi
 
Wanawake wamenyanyasika sana na mfumo dume wacha nao waenjoy no king rules forever, ila wakishika hatamu tumekwisha

hii kitu ilimuadhiri sana ma mama, wacha tu!....ndio mana cku nilipomueleza ishu ya mie kuolewa alilia machozi akijua na akili yangu huko niendako nitaipata cha moto...imekuwa tofauti.
 
hii kitu ilimuadhiri sana ma mama, wacha tu!....ndio mana cku nilipomueleza ishu ya mie kuolewa alilia machozi akijua na akili yangu huko niendako nitaipata cha moto...imekuwa tofauti.

Nyamayao naomba ufafanuzi kwenye hiyo red. Tofauti? That means mmeo anaipata habari yake kisawasawa? Don't do it darling!
 
Dah wanawake kila siku wanabadilika wengine wanajimudu wao kwa wao wengine matoy wasio na uwezo wanatumia ndizi na wengine karoti wengine wanapendelea Tango yote wanadai ni kujinafasi.
Mungu wangu, wewe ulituumbia matunda na vyakula, ili tule, sasa ebu angalia viumbe wako wanatumia kwa ngono, ebu shuka haraka utuokoe.

Kuanzia leo situmii vyakula hivi nilivyowekea rangi nyekundu, hasa nikivikuta kwa mwanamke hasiyekuwa na mume,
 
Nyamayao naomba ufafanuzi kwenye hiyo red. Tofauti? That means mmeo anaipata habari yake kisawasawa? Don't do it darling!
Hapana, alijua kwamba nitateseka/nyanyacka sana, yaanii ilimuadhiri kiac cha kwamba alikuwa anaona kama mwanae akiolewa hakutakuwa na tofauti na yeye aliyofanyiwa....
 
mmmmmh fidel unajiexpress feelings zako hapo naona, jinsi gani inavyokuumiza. Lakini inakupasa ujue kuwa siku zinasonga ati na watu wanakuwa huru zaidi kufanya mambo yao ila sidhani kama itafika kipindi ambacho wanawake watakuwa hawataki wanaume kabisa i dont think so. hata ukiangalia hao wanawake walio independent they are missing something from men ila tu ni pride yao inawafanya not to show.
Mwanaume will always have a place in a woman's heart....and life in general
 
Niliwahi kumsikia mzee mmoja kwamba kuna nchi fulani wanawake walikuwa wana - power sana katika kila kitu! Wanaume wakakaa chini wakafikiri na kuona kuwa hapo suala ni kuwapa mimba wanawake wote halafu ndo wachukue madaraka! Walifanya hivyo na wakafanikiwa
 
Nguvu ya wanaume haishi sembuse Afrika,ila ni kweli wanakuja kwa kasi sijui tutumie staili ya kudanganya??!
 
Fidel80 kumbuka kuwa penzi ni kushea exprience mnabadilishana na ni jinsi unavyoweza kumu-handle mwenzio swala zima la romance hivi kweli jamani nikitaka kukumbatiwa tango ndo litanisaidia nini ? nikitaka kufeel joto .sijui karoti parachichi .na hayo mambo ya jinsia moja ni kichefuchefu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ngoja nitoke hapa nisiongee sana nikapewa red kadi
 
Back
Top Bottom