Hatuhitaji kirusi cha ccm hai

Kwayu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
499
92
Tunapoelekea uchaguzi mkuu tunawatahadharisha wagombea wote jimbo la Hai kwamba hatuitaji kirusi chochote kile cha CCM katika jimbo letu.Hawamu hii tunataka Halmashauri iongozwe na wapinzani.
 
Kweli kabisa miaka hii mitano jimbo limekosa mwakilishi makini,hivyo ni vema Freeman Mbowe akarudi kuliongoza ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Hai waliopoteza matumaini.Mbunge wa sasa anajiaminisha kurudi lakini ukweli ni kwamba ana wakati mgumu na chama chake.Kila la kheri kwa Mwenyekiti wa Chadema kurejea bungeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom