Hatua zilizopigwa chini ya CCM

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Mojawapo ya mafanikio yaliyotajwa ambayo taifa limefikia chini ya utawala wa CCM ni kuboresha elimu. Hvi ndivyo elimu ilivyoboreshwa nchini. Huu ni mfano wa darasa moja tu. Hali hii inajirudia nchi nzima.

PICHA%20348.jpg
 
Afadhali ya huyu aliejaribu na sasa hivi ufumbuzi wake umepatikana? kuliko kama angeendeleza ukmya? vunja ukimya jaribu, na challengs ndo zitakusaidia.
 
Mojawapo ya mafanikio yaliyotajwa ambayo taifa limefikia chini ya utawala wa CCM ni kuboresha elimu. Hvi ndivyo elimu ilivyoboreshwa nchini. Huu ni mfano wa darasa moja tu. Hali hii inajirudia nchi nzima.

View attachment 12762

Hawa viongozi wa CCM ni waongo sana, laghai, wahuni na wanafiki. Hwana chochote cha kuonmyesha labda magorofa ya Wahindi na Waarabu Kariakoo. Tunataka maendeleo ya watu, lakini CCM wanakazania maendeleo ya vitu. Reli ya Kati inayosaidia wananchi wengi pembezoni mwa reli hiyo kwishney kwa sababu ya ufisadi. Ingefaa Mpiganaji wetu Dr Slaa aka-concentrate sana katika maeneo hayo -- aanzie Morogoro, Dodoma, Tabora, Kigoma.
 
Hivi CHADEMA wana mpango wowote wa kutumia picha kama hizi (ambazo ni nyingi na upatikanaji wake ni rahisi) ili kuwaelimisha wananchi kuhusu shida na ufukara vinavyoikumba Tanzania chini ya udhalimu wa CCM?

Natoa wito kwa watendaji wa CHADEMA kutengeneza fliers zenye ujumbe na picha za kuonesha mateso wanayoyapata wananchi ili wananchi wengi zaidi waweze kuelewa ujumbe wa "TANZANIA BILA CCM, INAWEZEKANA"
 
Sikio la kufa halisikii dawa, pamoja na matatizo yote haya bado jamaa wanaipigia debe CCM? Ningekuwa nauwezo hiki chama ningekifuta kisionekane kamwe!
 
Back
Top Bottom