Hatua za kuchukua pindi blackberry inapoibiwa.

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Hapa naandika nikiwa nimenuna sana, hata dakika tatu hazijaisha kuna mpuuzi kaingia kwenye banda langu hapa sabasaba wakati nampatia maelezo kuhusu shughuli za kampuni yangu kajisevia Blackberry yangu. Naomba msaada wa jinsi ya kuilock kuiblock ikibidi kuilipua kabisa ili asijekufanikiwa na lolote.
 
Kumbe unakampuno yako hapo saba saba? pole sana!! Huwezi fanya lolote ndugu yangu, hata ukiilock software zipo kibao ziku hizi hapo Dar so wataiprogramu upya tu.. Kubali maumivu
 
naomba tushee maumivu... mi yangu wamekwapua kama wiki moja iliyopita
Programu ya kui-lock ilitakiwa iwe installed tayari kwenye simu ili akibadili sim card then i-lock! Sijui kama kuna remote lock endapo sim card imebadilishwa!
 
Ukiitarifu kampuni ya simu inatakiwa i black list hiyo simu, ila ndo hivyo Bongo itakuwa kero zaidi tu.
 
Kumbe unakampuno yako hapo saba saba? pole sana!! Huwezi fanya lolote ndugu yangu, hata ukiilock software zipo kibao ziku hizi hapo Dar so wataiprogramu upya tu.. Kubali maumivu

Ndio mkuu tunasupport uchumi wa nchi yetu, sasa kwa kuwa wataifungua ndio niwaachie tu kama zawadi? Mkuu huna huruma kabisa.

naomba tushee maumivu... mi yangu wamekwapua kama wiki moja iliyopita

Daaa inaboa kweli, sijui nitawezaje kukaa bila blackberry maana siamini kabisa za kununua hapa Dar.
 
na jinsi ya kui unlock blacberry iliyofungwa usa hapa bongo,kuna mtu anajua???????
 
jamani hili jukwaa la technology tubehave kama wanascience maneno machache fact nyingi siasa zina majukwaa yake. Kaka unafahamu kitu kinaitwa gps? Now waweza connect simu zako kwa gps zikawa zinatrack each other hata 1 ikiibiwa mwenzake aona inapoenda. Gps haitumii sim card wala internet but hutumia satelite. Au jamani na hii inachakachulika
 
pole mwayego. wasiliana na network provider, wanaweza kukupa mtu anayeitumia sasa. so utaweza kum-trace atakayeshikishwa. ikishindikana acha banda hapo 77, kwea pipa urudi duka ulikonunulia uchukue ingine. kazi ya pesa ni matumizi,usijali sana!tumia fweza ikuzoee
 
Kama TCRA na Polisi ingewalaimzisha Mobile companies kuhsirikina na kuashere informantion ya blaclisted IMEI ingesaidia kidogo.

Kinadharia mtu akiitumia Hiyo BB mobile switching center ya Telephone Provider wanaweza kuona kwa kutumia IMEI mtumiji yuko wapi. ana anapokea signal anatumia mnara gani.

Mfano kwa siku Tatu mfululilo telephone provider XYZ akigundua IMEI ya simu hiyo inatumia mnara wa kinodnoni kuazia saa nne usiku hadi sa 12 asubihi then kuanzia asubuhi anatumia mnara fulani wa Kkko. Unaweza kumtrace mtu na kumdaka mwizi wako kirahisi kwa intelijensia ndogo tu...... But inahitaji msaada wa telephone service provider. Uwezo wanao wakimua udaka simu zote za wii zilizoibiwa na zinazoendelea kutumika Tanzania

Tatzo ni mobilel companies hawawezi kufanya hivyo labda uwe mtoto wa JK au pinda

Bu Jaribu kwenda polisi wakupe RB alafu nenda kwa provider wako na provider wote waambie unataka waiblack list simu yako. Hata kama hukumbui IMEI no provider wako atakumbia. Then jaribu kuwaambia na provider wengine usikie watakumbiaje.

Jibu watalakokupa linaweza kuwa ndio kuyashataki haya makampuni na TCRA. kutokuwa na sera ya kumsaidia mteja.........
 
Inaonesha mnanunua bb halafu hamzitumii ipasavyo, kuna program nyingi za bure na za kununua ambazo ungekuwa ume install ungeweza kufunga na hata akiiflash na kuifuinguwa ina ku alert na unaifunga tena, google bb hacks.
 
FF uko sahii kabisa ni kama hawa mawaziri wetu wa CCM wanavyotumia VX kwa ajili ya kuwasafirsha a Masaki- Posta. Watu wengi kama walivyo vviongozi wetu tunanunua vitu vya aina fulani sababu ya image status hatuzingatii mahitaji.

teh teh teh naua hili la VX unaweza kubisha
 
Hapa naandika nikiwa nimenuna sana, hata dakika tatu hazijaisha kuna mpuuzi kaingia kwenye banda langu hapa sabasaba wakati nampatia maelezo kuhusu shughuli za kampuni yangu kajisevia Blackberry yangu. Naomba msaada wa jinsi ya kuilock kuiblock ikibidi kuilipua kabisa ili asijekufanikiwa na lolote.
nunua nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom