Elections 2010 Hatma ya Mbatia kisiasa

Upinzani kuunganisha nguvu ni hoja inayovutia lakini tuangalie picha kubwa zaidi. Suala si kuing'oa CCM madarakani tu bali ni kutafuta uongozi thabiti wa taifa. Tatizo liko kwenye ajenda za vyama vyenyewe. Ukimuangalia Mbatia na NCCR-Mageuzi yake ni vigumu kuona wanachosimamia au kupigania kisiasa zaidi ya kutoa hoja za haki za kijamii (kwenye vyombo vya habari). Kauli zao hazina tofauti sana na za FEMACT, LHRC, Hakielimu, n.k. Vivyo hivyo kwa TLP na UDP. Tena afadhali hata hizo NGO ambazo hushupalia uendeshaji mbovu wa uchumi ikiwa ni pamoja na kukithiri kwa ufisadi ambako kunapunguza fursa za maendeleo na maisha bora kwa wananchi. Sasa muungano na vyama vya aina hiyo unaweza kuwa na tija ipi? Kupata kura nyingi tu?
 
Mbatia hana tofauti na shoga ; siasa ni wito anafahamu hana wito wa kisiasa yeye kama alikuwa ni mpinzani wa kweli alitakiwa aungaishe nguvu na upinzani; alitaka kufanya kama mzee kiraracha, Mrema anajulikana wazi alikuwa kibaraka cha CCM kwani kila chama alichokwenda alivuruga, sasa CCM wamemlipa fadhila kwa ubunge. Anachotakiwa kufanya Mbatia ni kujiuzulu wadhifa wake kama kiongozi wa NCCR abakie kuwa mwanachama wa kawaida ama arudi kwa mabasha zake CCM.
 
Back
Top Bottom