Hatma ya Mahanga kujulikana Mei 2, 2012!

CDM mna tabia za watoto yatima kila mara mahakamani mnahisi kuonewa TU!!!
 
Ndugu zangu kwa mwendo wa hizi mahakama zetu nahisi Mpendazoe anaweza chezewa mchezo mchafu kwenye hukumu inayotarajiwa kutolewa tar2 mwezi ujao. Kwa mwenendo wa kesi ile Mahanga hatakuwa na chake kama mahakama itatenda haki kisheria. Je' wewe unahisi kipi chaweza kutokea japokuwa tunasubiri maamuzi ya mahakama?

Nahisi unatengeneza mazingira ya chuki. Mimi ni mwanaCDM ila sipendi hii hali ya kukaa tunaazinzisha thread za kuhisi, kuhisi, Kuhisi ... Kwa nini tunataka kuingilia uhuru wa mahakama?
 
Back
Top Bottom